KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

Hii suala la ajira linapasua vijana vichwa lakini walioshiba vitambi viko mbele wakitema mate wanavitemea wala hawaoni kama kuna tatizo la ajira kwa vijana.
 
Katika jambo ambalo limenitesa na limewatesa wahitimu wa mwaka 2015 ni ahadi za uongo zilizotolewa na serikali ya awamu ya Tano kutoa ajira mwaka mzima siku 366 tumepewa ahadi hewa .hata sasa rais kashindwa kutolea ufafanuzi ni lini ajira zitatolewa hali ni mbaya stress za maisha tu,mwaka umepita wametuvunjisha mikataba na taasis binafsi kwa uwongo wao. Hakika mungu hamfichi mnafiki. I am streesed with new year 2017 where can I get the help if the people we are entrusted power are liar
 
Ilishakula kwetu
 
Michakato ya uhakiki, Faru John, na mingne ya ajabu kama hii, ukweli haupo zaidi ya story za kitoto! Chief nkanga alisema AJIRA FEB 2017 wakakanusha na ndo tunaelekea huko, ikpta tusubr bajet mpya ya fedha July!
 
Habari za mihangaiko ya kila siku ndugu zangu wapendwa?

Akiwa Kagera Mhe. Mtukufu Rais katika hotuba yake kwa wananchi moja ya mambo aliyozungumzia ni kuwa vijana wanalalamika ajira hamna kwa sababu hatuna viwanda vingi. Swali langu je vijana wote hapa nchini tunategemea kuajiriwa viwandani ? Vipi kuhusu manesi,walimu,maafisa ugavi,maafisa kilimo nao pia wanatakiwa kuajriwa viwandani.

Jibu nililoliweka kichwani kwa maneno yake ni kuwa hizo ajira 71,000s walizozisema hawana mpango wa kuzitoa aidha hawana fedha za kuajiri au tu ni njia ya kuwakomoa maana vijana wengi tulionekana upande wa Lowassa.
 
Hivi unakielewa ulichopost? Unapoambiwa uchumi wa viwanda unafikiria ni nini? Mkulima anapolima mazao yake na kukawa na kiwanda cha kuprocess hayo mazao kuwa bidhaa nyingine itakayouzwa nchini na hata kusafirishwa, huoni kuwa mkulima anakuwa na uhusiano wa karibu na kiwanda ambacho ni soko lake? Huoni kuwa kuwapo na kiwanda kinachochakata mazao anayozalisha mkulima ni jambo linalopelekea kukua kwa uhitaji wa zao husika na hivyo hitaji la wazalishaji, maafisa kilimo n.k kuongezeka?
Katika udaktari, viwanda vikiongezeka, tabaka la kati litakua na ongezeko la watu wanaomudu matibabu litakapokuwa kubwa kutajengeka hitaji la madaktari binafsi, madaktari wa maeneo maalum ya kiafya kama upasuaji wa kimapambo na hata hitaji la hospitali binafsi katika maeneo yaliyo nje ya miji mikubwa ambako madaktari na wauguzi watahitajika. Pia kwa upande mwingine, huduma kama nyumba maalum za wazee, makazi ya watoto wenye ulemavu wa akili au vijiji vya kiafya ni mambo yatakayowezekana pale watu watapoweza kumudu huduma hizo. Na kote huko, hitaji la huduma za madaktari ni jambo lisilokwepeka.
Hauhitaji nguvu nyingi kuona namna kukua kwa viwanda kunavyoweza kuboost kada mbalimbali kiajira. Humo utakutana na ugavi, sheria, masoko, uandishi, uhandisi, mawasiliano, na vitu vingi sana.
 
Sawa nimekuelewa sikatai viwanda vina umuhimu kwa uchumi, ila kwa sasa hatuna viwanda je hospitali zimejaa manesi au shule zote zina waalimu? Tatizo langu hapa ni kuwa ameongelea kwa ujumla kuwa vijana hawana ajira sababu ya viwanda. Hapo alitakiwa atolee ufafanuzi vipi kuhusu wanaosubiri ajira ila yy amekwepa hilo
 
Uongozi ni KAZI ngumu sana ambayo inahitaji Hekima za mwenyezi MUNGU.
Huwezi kutatua matatizo ya kila mtu
Ila unaweza kupunguza. Mfano suala ajira za walimu na madokta pamoja na kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Polen sana wanaosoma awamu hii, mikopo hakuna lkn najiuliza kitu kimoja ambacho huwa sipati picha.
KM KWELI RAISI ANASIMAMA KWENYE UKWELI NA HAKI KWANN ALIRUHUSU MWANAE KUPOKEA MKOPO WA ELIMU? Na vigezo gani vilitumika kumpatia huyo mtoto?
Namshukuru Mungu sana, kwa kumaliza elimu yangu ya chuo kipind cha Kikwete la sivyo nam chuo ningekisikia tu hewani.
 
Hivi unakielewa ulichopost? Unapoambiwa uchumi wa viwanda unafikiria ni nini? Mkulima anapolima mazao yake na kukawa na kiwanda cha kuprocess hayo mazao kuwa bidhaa nyingine itakayouzwa nchini na hata kusafirishwa, huoni kuwa mkulima anakuwa na uhusiano wa karibu na kiwanda ambacho ni soko lake? Huoni kuwa kuwapo na kiwanda kinachochakata mazao anayozalisha mkulima ni jambo linalopelekea kukua kwa uhitaji wa zao husika na hivyo hitaji la wazalishaji, maafisa kilimo n.k kuongezeka?
Katika udaktari, viwanda vikiongezeka, tabaka la kati litakua na ongezeko la watu wanaomudu matibabu litakapokuwa kubwa kutajengeka hitaji la madaktari binafsi, madaktari wa maeneo maalum ya kiafya kama upasuaji wa kimapambo na hata hitaji la hospitali binafsi katika maeneo yaliyo nje ya miji mikubwa ambako madaktari na wauguzi watahitajika. Pia kwa upande mwingine, huduma kama nyumba maalum za wazee, makazi ya watoto wenye ulemavu wa akili au vijiji vya kiafya ni mambo yatakayowezekana pale watu watapoweza kumudu huduma hizo. Na kote huko, hitaji la huduma za madaktari ni jambo lisilokwepeka.
Hauhitaji nguvu nyingi kuona namna kukua kwa viwanda kunavyoweza kuboost kada mbalimbali kiajira. Humo utakutana na ugavi, sheria, masoko, uandishi, uhandisi, mawasiliano, na vitu vingi sana.
Kwn nchi zenye viwanda na hazina raw materials toka kwa wakulima wao hua wanafunga viwanda acha siasa wakulima wanaweza lima wakauza mazao yao nje ya nchi hapo wataajiri watu wengine km wafanyabiashara madereva nk so usikariri km cc hatuwez jenga ivo viwanda kwa mda mfupi bora tuwatengenezee mazingira mazuri wakulima wetu wauze bidhaa nje ya nchi
 
Sawa nimekuelewa sikatai viwanda vina umuhimu kwa uchumi, ila kwa sasa hatuna viwanda je hospitali zimejaa manesi au shule zote zina waalimu? Tatizo langu hapa ni kuwa ameongelea kwa ujumla kuwa vijana hawana ajira sababu ya viwanda. Hapo alitakiwa atolee ufafanuzi vipi kuhusu wanaosubiri ajira ila yy amekwepa hilo
Ufafanuzi mwingine ni mgumu kueleweka mpaka pale mambo yanapofanyika maana kuna mambo mengi yanayoingiliana ambayo hayaeleweki kirahisi.
 
Kwn nchi zenye viwanda na hazina raw materials toka kwa wakulima wao hua wanafunga viwanda acha siasa wakulima wanaweza lima wakauza mazao yao nje ya nchi hapo wataajiri watu wengine km wafanyabiashara madereva nk so usikariri km cc hatuwez jenga ivo viwanda kwa mda mfupi bora tuwatengenezee mazingira mazuri wakulima wetu wauze bidhaa nje ya nchi
Kuwa na viwanda hakuondoi fursa ya kuuza mazao ghafi nje endapo kunakuwapo na uzalishaji unaotosheleza hilo. Kwa hiyo ulichokiandika hakina maana kwa sababu sikugusia uuzaji wa mazao ghafi nje.
Kingine unachopaswa kuelewa ni kuwa hata uzalishaji wa kujitosheleza unategemea viwanda kama vya pembejeo na zana mbalimbali. Madawa, mbolea, vifaa vya umwagiliaji n.k huzalishwa viwandani pia.
 
Ajira zipo ila watu wanataka hadi serikalini wakati elimu haitoshi /vyeti vyao feki
Halafu wanataka wachomekee mashati na kubeba briefcase kwa hivyo vyeti feki wakati wanaweza kulima, kufuga, kuchuuza bidhaa na hata kuunda vikundi vya maendeleo wakafanya makubwa tu.
Mtu yuko tayari akusanye milioni mbili hadi tano ya nauli aende US akabebe maboksi wakati hiyo hela akiingia nayo Kyela akakodi heka moja ya shamba la mpunga,au akaenda Mang'ola au Ruaha akalima vitunguu, ataona nafuu ya maisha. Lakini watu wanasubiri uafsa wakati kila mtu katolea macho hapo na wakiukosa, nyimbo zao ni kuwa ajira hamna na nje ndio kuna kila kitu.
 
Habari za mihangaiko ya kila siku ndugu zangu wapendwa?

Akiwa Kagera Mhe. Mtukufu Rais katika hotuba yake kwa wananchi moja ya mambo aliyozungumzia ni kuwa vijana wanalalamika ajira hamna kwa sababu hatuna viwanda vingi. Swali langu je vijana wote hapa nchini tunategemea kuajiriwa viwandani ? Vipi kuhusu manesi,walimu,maafisa ugavi,maafisa kilimo nao pia wanatakiwa kuajriwa viwandani.

Jibu nililoliweka kichwani kwa maneno yake ni kuwa hizo ajira 71,000s walizozisema hawana mpango wa kuzitoa aidha hawana fedha za kuajiri au tu ni njia ya kuwakomoa maana vijana wengi tulionekana upande wa Lowassa.
Sasa wanawakomoa ili iweje?na je wasipowapa hizo ajira 2020 ndio watawapigia kura?kisa waliwaweka benchi 2015-2020?
LABDA WANAJIPANGA
 
Back
Top Bottom