M23 au alshabab?
Heeeemkuu ni wale ambao walianzisha kijiji chao huko msituni na kumuua mgambo na kumjeruhi kwa risasi mkuu wa kituo cha polisi kilindi
Heeee
Hayo mambo yametokea tanzania hapa hapa??
Magaidi ?
wanashukiwa kuwa ni magaidi,walikuwa wanaendesha mazoezi yenye mlengo huo
Kwa nini watz mwapenda sana kuimba wimbo wa "magaidi"? Kila tukio hata ujambazi sasa linabatizwa ugaidi!!!
okey...
nimeona page ya MARAFIKI WA RADIO IMAN huko wakitokwa povu ile mbaya.
na inasemekana polisi bado wanapambana nao huko msituni wamebaki watatu.