Kilimo na biashara ya mahindi ya kuchoma

Nakukunda

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
877
1,635
Habari wana JF wenzangu,

Katika harakati za kupambana na maisha nawaza kulima kilimo cha mahindi ya kuchoma.

Naomba kujua undani wa kilimo hicho na kuhusu masoko ili nifanye research ya soko kabla sijaanza.

Natamani kufanya kilimo cha umwagiliaji.

Nipo Arusha.

Mungu awabariki
 
Na mimi nina plan ya kufanya hicho kilimo, kwa huku dsm naona mahindi ya kuchoma, yanaliwa sana.

Ni chek PM tuyajenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom