Serikali ya CCM imeitikia kauli mbinu ya kilimo kwa kishindo. Wanafunzi 246000 waliomaliza kidato cha nne 2012 wametunukiwa heshima ya kujiunga na kilimo kwa kupewa Division 0.
Hongera Kikwete matunda ya uongozi wako tunafurahia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.