Kilimo kwanza kimenishinda

Kilimo kwanza kimenishinda

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,318
Reaction score
408
Mwaka dume huu hata mahindi ya mbegu safari hii sidhani kama nitapata.Yamekosa mvua jamani jamani mi kilimo tena basi oweeee
 
pole sana kilimo chetu hiki cha jembe la mkono na mvua ni kazi....mie mwaka huu sikulima angalau sitolia hasara ingawa kujipanga kwa mwakani itakua shughuli.....
 
2012 hii bado unategemea mvua! sasa hivi tunatengeneza mpango wa umwagiliaji kwanza kabla ya kulima, kwahiyo mvua inyeshe isinyeshe mambo yapo kwenye mstari. Ukitegemea mvua utalia kila siku. pole sana
 
Usikate tamaa jipange urudi tena kwenye gem ongea na wenyeji wakupe timing nzuri ya kupanda,ila jipange kuanzisha irrigation system
 
Back
Top Bottom