Kilimo kwanza iliishaje mpaka ije Matokeo makubwa sasa?

Kilimo kwanza iliishaje mpaka ije Matokeo makubwa sasa?

kuna kitengo kipya kinaanzishwa ikulu kitasimamia mageuzi ya kilimo nafkiri ndo mwendelezo wa kilimo kwanza kwa maana ya big results now

Tuyasikia Mengi lkn mwisho wa siku mkulima anabaki palepale akitaabika na Hali ngumu ya maisha,basi bhana!Mungu ndo muweza atajua namna gani amtegemeze mja wake,lkn sijui sera mara mipango wala si chochote.
 
Salamu wanaJF.

Hhivi karibuni kumeibuka mpango wa serikali wa MATOKEO MAKUBWA SASA (BIG RESULT NOW) swali langu hivi serikali huwa inafanyaga tathmini ya mipango yake kweli hapa kati tena kiliundwa kitengo cha PRESIDENTIAL DELIVERY UNIT/BUREAU.

Hivi kweli hivi vitengo vina ulazima mbona sioni mabadiliko?
Na ile ya Malaria Inawezekana nalo limeishia wapi? je Maradhi ya Malaria yamepungua kwa kiasi gani na ilitugharimu kiasi gani?
 
Bongo mipango inaweza kujaa kwenye mafaili nyumba nzima,lkn utekelezaji wa mipango hiyo hata kwenye Ream ya A4 haijai.
 
tunaenda Malaysia na kubeba mipango yao ikiwemo hii ya BRN bila kuangalia mahitaji yetu kwa sasa je mipango iliyotangulia tumetoka na nini? tufanye basi tathmini kwa mipango tuliyoitanguliza?
 
Matokeo Makubwa Sasa (BRN) bado ipo?
 
Matokeo Makubwa Sasa (BRN) bado ipo?
BRN imebaki kwenye mitihani ya kujipima ya darasa la sita ambako wajanja wanapitishia ulaji. Huko nako Ndalichako anapapigia mahesabu.
 
Salamu wanaJF.

Hhivi karibuni kumeibuka mpango wa serikali wa MATOKEO MAKUBWA SASA (BIG RESULT NOW) swali langu hivi serikali huwa inafanyaga tathmini ya mipango yake kweli hapa kati tena kiliundwa kitengo cha PRESIDENTIAL DELIVERY UNIT/BUREAU.

Hivi kweli hivi vitengo vina ulazima mbona sioni mabadiliko?
Hizo zote in deal za kupakua hela mahali, hazina tija kwa taifa hata siku moja
 
Ni wakati wa kufanya kazi kwa UBUNIFU zaidi
 
Ubunifu ndo msingi wa maendeleo. Mipango ya mezani tu Imetosha sasa
 
Back
Top Bottom