[Kilimo Kwanza] Govt orders 1430 New Tractors

[Kilimo Kwanza] Govt orders 1430 New Tractors

Hapa kuna kashfa nyingine. Dola milioni 40 serikali inatoa wapi??

Tatizo bado bunge letu ni la matukio. Hapa niligetemea kamati ya husika ya bunge ingekaa chini na kuihoji wizara ya kilimo na hata ya fedha kabla manunuzi hayajafanyika. Pia kamati ingejiridhisha hizo traictor zinaenda kwenye maeneo husika na kweli?
 
Back
Top Bottom