Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,819
- 40,320
Hivi mfano serikali ikakusanya vijana wanaozurura dar kama laki tano
Halafu wakawapeleka mikoa ya kilimo kama ruvuma rukwa mbeya
Wakawafungulia shamba moja kubwa LA mahindi kwa ukubwa wa eka LAki nane
Halafu wakawanunulia matrekta elfu moja ya kuwalimia
Hivi hatauwaga umaskini kweli?
Naomba chalenji ya hili wazo langu