HONOURABLE PETER
Member
- Jul 8, 2019
- 21
- 30
Msimu upi ni wa pesa nzuri sokoni mkuu,,kiasi kwamba mavuno yanakuwa machache..na demand huwa kubwa.Mwaka huu Singida msimu wa kitunguu kili kubali sana soko likaporomoka vibaya sana
Sijui mikoa mingine
Zao la kitunguu cha msimu wa mvua bei inategemea na wingi au u hache wake sokoni
Msimu mzuri ni kiangazi yaani kitunguu cha kumwagilia.Msimu upi ni wa pesa nzuri sokoni mkuu,,kiasi kwamba mavuno yanakuwa machache..na demand huwa kubwa.
Lakini niliwahi kusikia,wengi hawamudu kilimo cha kitunguu cha masika. Wanasema magonjwa ni mengi sana,pia mvua inaleta uharibifu wa mazao..ndo maana hata bei ya masika ya masika mara nyingi bidhaa ya kitunguu inakuwa juu tofauti na kiangazi,Msimu mzuri ni kiangazi yaani kitunguu cha kumwagilia.
Mvua za masika watu wengi sana wanalima kwa pamoja
Tangaza ndugu, atapatikana naaminiMoja ya zao nalilikubali
Ila mtu wa kufanya naye sina
Sahihi, hata hiyo picha niliyopost hapo nimepiga mwezi wa sita.Msimu mzuri ni kiangazi yaani kitunguu cha kumwagilia.
Mvua za masika watu wengi sana wanalima kwa pamoja
Je ni ardhi yeyote inakubali? Au ni baadhi ya mikoa?Msimu mzuri ni kiangazi yaani kitunguu cha kumwagilia.
Mvua za masika watu wengi sana wanalima kwa pamoja
mimi nipoMoja ya zao nalilikubali
Ila mtu wa kufanya naye sina