Kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone

Shida hapa inakua moja. zile drip lines zina matundu costant mf spacing ya 30cm, ina maana inakulazimu ulime mazao flani tu ya spacing hiyo, bamia 45*45cm, kabegi45-50*45cm, matango 60*60cm, tikiti 60-100*60-100cm nyanya 50*45-50cm, bilinganya 50*50cm, vitunguu 10-15*10-15cm, tayari hapa tija siioni, au kuna jinsi ipi hapa? sababu ukipanda tango tundu moja halita tumika na mji yatapotea bule

Ukitaka tija ya drip lima kwa matuta hakuna yanayopotea sababu yote yatatua kwenye tuta,nimeparticipate kulima mpaka migomba ya high dense banana with spacing ya 150x150x300 (cm) na drip ndio imetumika,nimelima as special project tikiti,tango na nyanya kwa drip system na nilipata tikiti la kg dogo ni 4 na kubwa ni kg 13,drip nimeparticipate kuitumia mpaka kwenye kilimo cha karoti na vitunguu so kiufupi unyevu ndio muhimu kwa eneo la mmea,huku Arusha walima kahawa wa kizungu wanatumia drip kumwagilia
 
Mm nilinunua drip pale Balton kwa ajili ya green house yangu lkn niliona nimeingia hasara tu kwani walinipa drip yenye vitundu vidogo sana kiasi kwamba umwagiliaji ikawa ni shida tukumbuke maeneo ya Arusha yana hali ya hewa tofauti na mikoa km morogoro ivyo unapaswa kupata drip yenye mpira Mkubwa na matundu makubwa ili uweze mwagilia vizuri
 
Ndugu nadhan huelew nn maana ya drip,maana n kumwagilia kwa njia ya matone kutoka kdogo kdogo ndio lengo,cwez andika sana sababu natumia simu ila inshort unatakiwa utumie masaa si chini ya matatu kumwagilia ndugu ndio maana unapewa tank kama uko Arusha tuwasiliane unitembelee horti tengeru maana wiki ijayo tarehe 12 ndio naondoka chuo rasmi na hapa tunalima hoho za njano na nyekundu kwa gh
 
Nini wanauza kwa mita kwa bei hii?drip system inajumuisha tank/kisima,pump,filter,uv pipes na driplets pipe.kipi hapo ni hiyo bei?kwa sasa wauzaji ni balton ila kuna mzungu mmoja mmama yuko Moshi nae ataanza mwaka huu atauza cheap urahc ngojen nane nane naamin kila muuzaji mtawafahamu na bei itapungua pia

Hapo wanauza drip line tu bila tank wala bila pump wala bila mipila ya pump yaani ni drip line tu
 
Nini wanauza kwa mita kwa bei hii?drip system inajumuisha tank/kisima,pump,filter,uv pipes na driplets pipe.kipi hapo ni hiyo bei?kwa sasa wauzaji ni balton ila kuna mzungu mmoja mmama yuko Moshi nae ataanza mwaka huu atauza cheap urahc ngojen nane nane naamin kila muuzaji mtawafahamu na bei itapungua pia

Hapo wanauza drip line tu bila tank wala bila pump wala bila mipila ya pump yaani ni drip line tu na vi-componet vidogovidogo.
 
Okay nimekuelewa ndg ni bei sababu muuzaji mmoja soon watakua wengi ndugu
 
Ukitaka tija ya drip lima kwa matuta hakuna yanayopotea sababu yote yatatua kwenye tuta,nimeparticipate kulima mpaka migomba ya high dense banana with spacing ya 150x150x300 (cm) na drip ndio imetumika,nimelima as special project tikiti,tango na nyanya kwa drip system na nilipata tikiti la kg dogo ni 4 na kubwa ni kg 13,drip nimeparticipate kuitumia mpaka kwenye kilimo cha karoti na vitunguu so kiufupi unyevu ndio muhimu kwa eneo la mmea,huku Arusha walima kahawa wa kizungu wanatumia drip kumwagilia

Mkuu drip line zinamatundu tayari na yanaumbali tofaut tuseme mimi nina drip line za 30cm toka mche hadi mche na lengo ni kusave maji yaende direct kwenye shina, alafu nataka kupanda zao la 60cm au 45cm toka shina hadi shina huoni kunamatundu yatadondosha maji ambapo hakuna shina? hapo si nitapoteza maji sababu hayajaenda kwenye shina lengwa? pia hapo kwenye 45cm mbona yatapishana na miche kama nikipanda kwa spacing inayo takiwa, au lazima niwe na system zaidi ya 1?
 
Mm nilinunua drip pale Balton kwa ajili ya green house yangu lkn niliona nimeingia hasara tu kwani walinipa drip yenye vitundu vidogo sana kiasi kwamba umwagiliaji ikawa ni shida tukumbuke maeneo ya Arusha yana hali ya hewa tofauti na mikoa km morogoro ivyo unapaswa kupata drip yenye mpira Mkubwa na matundu makubwa ili uweze mwagilia vizuri

Uko wapi
 
Mkuu drip line zinamatundu tayari na yanaumbali tofaut tuseme mimi nina drip line za 30cm toka mche hadi mche na lengo ni kusave maji yaende direct kwenye shina, alafu nataka kupanda zao la 60cm au 45cm toka shina hadi shina huoni kunamatundu yatadondosha maji ambapo hakuna shina? hapo si nitapoteza maji sababu hayajaenda kwenye shina lengwa? pia hapo kwenye 45cm mbona yatapishana na miche kama nikipanda kwa spacing inayo takiwa, au lazima niwe na system zaidi ya 1?

Ndugu kumwagilia ni kuweka unyevu essential kwa ukuaje wa mmea kwenye udongo,sasa drip inafanya kazi hii,hivi ukimwagilia kwa mifereji maji unajaza kwenye shina au tuta zima yanapanda kufuata mmea juu ya tuta?ukipanda mimea spacing tuchukue 45 cm kati ya mimea,inamaana mizizi itaenda cm 22.5 around mmea maana mizizi huchukua nafasi sawa na upana uliochukuliwa na mmea (canopy) mfano nyanya huenda mpaka 60 cm urefu wa mzizi hivyo umbali wa matundu ya drip hayaathir zao maana huweka unyevu tutani na huweka ili mizizi ichukue na si shina la mmea,maji hufonzwa na root hairs(vinyweleo vya mzizi) ndugu
 
Nilitumia neno (shina) nikimaanisha shimo,mche,mmea,zao ambapo nalenga mizizi iliyo udongoni
 
Picha zinagoma ila kwa ambae ataweza tusaidia kuziupload anipm namba zake nimtume picha za mazao yakiwa shamba ambayo nimeyazalisha nikiwa masomoni vitatoa uelewa mkubwa pia nitaanzisha uzi wa kuelezana mengi kitaalam kama kuchoma udongo,faida za live barrier na kufahamu njia za kisasa za kilimo
 
Kuna kampuni inaitwa BALTON TZ LTD iko arusha dar na morogoro inahusika na mambo haya kuna thread nimeikuta humu inazielezea vizuri . fungua search

wapo iringa pia
 
Nilitumia neno (shina) nikimaanisha shimo,mche,mmea,zao ambapo nalenga mizizi iliyo udongoni

Drip system n efficient ukilima kwenye matuta,huweka unyevu tuta zima hvyo pia kucontrol magugu kwa sehemu ambazo hazipati maji ila mimea ustawi mno,matundu nafasi zisikuogopeshe au ukitumia njia zingine unaamua maji yatuwe kwenye shina tu?
 
Poa mkuu hapo nimekupata
 
Back
Top Bottom