nangongocho
Member
- Jun 7, 2020
- 25
- 13
Nachingwea mnada wa 2 bei 1700
Vipi wamekubali kuuza? Nilisikia liwale bei wameikataa...nachngwea mnada wa 2 bei 1700
Wamegoma ila yatakua kama Kilwa waligomea 1700 matokeo wakakubal tu? MKULMA HANA HAKIVipi wamekubali kuuza? Nilisikia liwale bei wameikataa...