ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Habarini wadau,
Naombeni utalaamu kidogo kwenye suala zima la kilimo cha tikiti. Huwa inashauriwa sana pindi matunda yanapotoka kuacha matunda matatu tu ili yaweze kua makubwa na yauzike vizuri sokoni.
Swali langu na msaada ninaotaka ama kuomba ni jinsi gani ya kubakisha hayo matunda matatu
Je
1. Linakatwa tunda linalozidi na linakatwa wakati gani wa ukuaji wa matunda?
2. Linakatwa shina baada tu ya tunda lako la mwisho na linakatwa vipi na wakati gani ili kutoathiri ukuaji wa mmea?
3. Kama linakatwa shina ili matunda yapate chakula yanakatwa mashina yenye matunda au hata mashina ambayo hayana matunda?
Pia ningependa kujua mmea mmoja wa tikiti unahitaji maji lita ngapi kwa siku.
Nitashukuru nipate hii elimu.