Kilimo cha nyanya

Othman H

Member
Feb 14, 2017
20
17
Wana jf naombeni mimi ni mgeni kwenye kilimo, nimehamasika na kuvutiwa na kilimo cha nyanya! Mwenye ujuzi na kilimo hiki naomba msaada wako tafadhali.. Namna ya upandaji, upigaji dawa, umwagiliaji n.k
NB; shamba langu lipo mkiranga na niasili ya kichanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom