Bosi naomba kujua songea sehem gani?Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi.
Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo.
Matokeo yalikua sio mazuri sana kutokana na makosa ya kitaalamu lakini nimejifunza mengi sana kwenye kilimo cha nyanya.
Msimu huu nitalima kwenye green house na kwenye open field.
Greenhouse nitatumia mbegu ya Anna F1 miche 700
Open field nitatumia mbegu ya Faida F1(msimu uliopita ilifanya vizuri pamoja na kukosa matunzo muhimu nimeamua kuirudia tena) hii nitapanda miche 2500.
Kwa green house nitaweka mbegu kwenye kitalu kuanzia tar 1 Nov
Kwa open field nitaweka mbegu tar 10 Nov
Napokea maoni na ushauri, na nitakua natoa mrejesho huku kinachoendelea mpaka mavuno.
Location Songea
Kilimo cha nyanya kinahesabiwa wakati kwa wikiNarudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi.
Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo.
Matokeo yalikua sio mazuri sana kutokana na makosa ya kitaalamu lakini nimejifunza mengi sana kwenye kilimo cha nyanya.
Msimu huu nitalima kwenye green house na kwenye open field.
Greenhouse nitatumia mbegu ya Anna F1 miche 700
Open field nitatumia mbegu ya Faida F1(msimu uliopita ilifanya vizuri pamoja na kukosa matunzo muhimu nimeamua kuirudia tena) hii nitapanda miche 2500.
Kwa green house nitaweka mbegu kwenye kitalu kuanzia tar 1 Nov
Kwa open field nitaweka mbegu tar 10 Nov
Napokea maoni na ushauri, na nitakua natoa mrejesho huku kinachoendelea mpaka mavuno.
Location Songea
Ni kweli kabisa.Hata mbegu ya Hasira na Imara pia Tanya Mwanga zinafanya vizuri sana !! Changamoto ya Nyanya kila step yake ya ukuaji ina changamoto !! Zinahitaji uangalizi wa karibu sana !! Tofauti na mazao kama Pilipili hoho
Miche 700 mbona kidogo sana?labda inatosha 1/8 ya ekariMiche 700 zinakaa kwenye ekari 1 au nusu ekari naomba ufafanuz
Greenhouse kama hii sh.ngap?Green house inavyoonekana nje, ndani na open field.View attachment 2002962View attachment 2002966View attachment 2002967
Nini (Zao) kinalimwa green house kibiashara?Nyanya ya biashara hailimwi green house braza labda itakuwa ya mboga tu, kama unahitaji nyanya kibiashara lima shambani kabisa angalau uanzie ekari moja na kuendelea.
Wasalimie mission hapo nawatembeleaga..Peramiho
Ni screen house mkuu sio green houseGreen house inavyoonekana nje, ndani na open field.View attachment 2002962View attachment 2002966View attachment 2002967