Mkuu huo mtindo unafaa kwa jamii zote za ndizi?
Tumezoea kupanda miche ya ndizi, unaweza kuinunua au kuomba kwa jirani. Lakini ndizi iliyokomaa na kuiva inaweza kukupa mbegu naipanda ndizi kwenye karai bovu lenye matobo ili maji yasituame, weka udongo wenye mbolea kwenye karai na uwe unamwagilia maji kila siku. Baada ya siku nne utaona majani ya ndizi yanaanza kuota. Miche ikifika urefu wa inch 6 inaweza kuihamishia kwenye kitalu ambacho ni tuta. Hakikisha unaipanda kwa nafasi ya futi mbili kati ya mche na mche.
Miche ikifika urefu wa futi 2-3 unaweza kuihamishia shambani. Katika shamba chimba shimo la futi moja, weka mbolea na udongo, kama viganja viwili kwanza, weka mche wa ndizi funika kwa kwa mbolea na undongo, kabla hukafika juu weka chupa ya litre mbili za maji iliyokatwa kitako. Kitako kiangalie juu. Chupa hii itakusaidia wakati wa kumwagilia.
Maji ni muhimu sana katika kilimo cha ndizi. Unaweza kumwagilia maji kwa mifereji, kwa njia hii huhitaji chupa. Chupa ni muhimu kama unamwagilia kwa ndoo au kwa mpira. Wengi wanachimba kisima na kupump maji kwenye sim tank. Ukiwa na mpira mrefu wa maji unarahisiha kazi.
Wengi tunatumia ndizi kama chakula, kwa kilimo hiki unaweza kuwa na uhakika wa ndizi ya kula kila wiki katika eneo nusu ekari. Zikiwa nyingi huwa ninamenya na kuweka katika mifuko ya plastic na kuhifadhi kwenye freezer. Nyingine huwa ninapeleka sokoni na pia ninavumbika hasa ndizi mzuzu.
Ndizi mzuzu unakweza kuzichemsha na zikiiva unaponda kwenye kinu, zinatoa ugali mtamu sana, ugali huu unawafaa sana wenye kisukari.
Hiyo ndizi mbivu unaipanda na maganda yake au uyatoa?

#MaendeleoHayanaChama
Madam kidogo uko nyuma, kwa sasa mashimo ya migomba ni futi 3 round dia., kina futi 2

Shukran sana kwa taarifa hii ya kitaalamuMadam kidogo uko nyuma, kwa sasa mashimo ya migomba ni futi 3 round dia., kina futi 2
na umbali wa shina na shina mita 2.5 to 4 tegemea na aina, migomba mirefu sana inahitaji nafasi pana
shukran na wewe , na mimi ni mkulima tu wa kienyeji uzoefu tu sina taaluma hiyoShukran sana kwa taarifa hii ya kitaalamu
Vipi bado hazijaota?Madam kidogo uko nyuma, kwa sasa mashimo ya migomba ni futi 3 round dia., kina futi 2
na umbali wa shina na shina mita 2.5 to 4 tegemea na aina, migomba mirefu sana inahitaji nafasi pana
Naendelea kuvunaVipi bado hazijaota?
Ndizi mpaka sasa kuna njia tatu za kuzalisha, kwa njia ya tissue culture au maabara, macro propagation au njia ya kuchemsha na ya kutoa vitoto. Hii imeandikwa nadhani ulikotoa haiko applicable kwetu.
Tumezoea kupanda miche ya ndizi, unaweza kuinunua au kuomba kwa jirani. Lakini ndizi iliyokomaa na kuiva inaweza kukupa mbegu naipanda ndizi kwenye karai bovu lenye matobo ili maji yasituame, weka udongo wenye mbolea kwenye karai na uwe unamwagilia maji kila siku. Baada wiki mbili au tatu utaona majani ya ndizi yanaanza kuota. Miche ikifika urefu wa inch 6 inaweza kuihamishia kwenye kitalu ambacho ni tuta. Hakikisha unaipanda kwa nafasi ya futi mbili kati ya mche na mche.
Miche ikifika urefu wa futi 2-3 unaweza kuihamishia shambani. Katika shamba chimba shimo la futi moja, weka mbolea na udongo, kama viganja viwili kwanza, weka mche wa ndizi funika kwa kwa mbolea na undongo, kabla hukafika juu weka chupa ya litre mbili za maji iliyokatwa kitako. Kitako kiangalie juu. Chupa hii itakusaidia wakati wa kumwagilia.
Maji ni muhimu sana katika kilimo cha ndizi. Unaweza kumwagilia maji kwa mifereji, kwa njia hii huhitaji chupa. Chupa ni muhimu kama unamwagilia kwa ndoo au kwa mpira. Wengi wanachimba kisima na kupump maji kwenye sim tank. Ukiwa na mpira mrefu wa maji unarahisiha kazi.
Wengi tunatumia ndizi kama chakula, kwa kilimo hiki unaweza kuwa na uhakika wa ndizi ya kula kila wiki katika eneo nusu ekari. Zikiwa nyingi huwa ninamenya na kuweka katika mifuko ya plastic na kuhifadhi kwenye freezer. Nyingine huwa ninapeleka sokoni na pia ninavumbika hasa ndizi mzuzu.
Ndizi mzuzu unakweza kuzichemsha na zikiiva unaponda kwenye kinu, zinatoa ugali mtamu sana, ugali huu unawafaa sana wenye kisukari.
👏Ndizi mpaka sasa kuna njia tatu za kuzalisha, kwa njia ya tissue culture au maabara, macro propagation au njia ya kuchemsha na ya kutoa vitoto. Hii imeandikwa nadhani ulikotoa haiko applicable kwetu.
Recommended space ya migomba kwa nchi za tatu ni 4mx4m kutokana na ishu za magonjwa, wadudu na matunzo
🙏