Kilimo cha mpunga Mbeya

Kilimo cha mpunga Mbeya

Msimu uliopita maeneo mengi maji yamesumbua kutokana na hali ya hewa ilivokuwa, lakin hata iweje maji ilikuwa lazima upate tu maana ilikuwa tunanywesha kwa zamu ili wote mpate, usiogope mkuu
Kumbe na ww unalima huko?!
 
Msimu uliopita maeneo mengi maji yamesumbua kutokana na hali ya hewa ilivokuwa, lakin hata iweje maji ilikuwa lazima upate tu maana ilikuwa tunanywesha kwa zamu ili wote mpate, usiogope mkuu
Daaa mkuu umenigusa mule mule njoo chemba tuongee vizuri

namimi nijaribu kusaka Mali shambani
 
Back
Top Bottom