inategemea unalima zao gani .mazao yanayoota kwa mashina kwa mfano nyanya huwa na gharama ndogo zadi .mfano ekari moja ya nyanya inahitaji ya fuatayo.
1:tank za kuhifadhi maji(kununua ama kujenga za matofari zisipunge lita 7000) gharama juu yako:
2;mipira inayopita kwenye mashina (garden horse-drip irrigation) gharama juu yako.bei ya reja reja mita sh1000 inayoendana na ukubwa wa shamba
3.kibanda kidogo kwa ajili ya solar power system ( 80-100 watts) ujenzi juu yako pamoja na solar
4:baada ya kuweza kumudu hayo juu uunganishaji pamoja na microcontroler hufungwa kwa gharama nafuu ya laki sita zikiwa na guarantee ya miezi kumi na sita,gharama za ufungaji wa hii ni sawa kwa hekari mpaka 4.gharama huongezeka kwenye mipira tu.