Afya hazina
New Member
- Mar 3, 2019
- 2
- 1
Habari ndugu zangu.
Jamani nimebahatika kulima matango nauliza bei yake sokoni kwa sasa ipoje?
Jamani nimebahatika kulima matango nauliza bei yake sokoni kwa sasa ipoje?
Hongera sana mkuu, bei ya soko ilikwendaje na ulilima eneo la ukubwa gani. Nami nipo mbioni katika harakati ya hili zao.