Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

14e55a65acbf90d8529fcf6e2ce39f30.jpg
huku kwe2 arusha kuna baadhi ya maeneo kuna miti hiyo...hata maskan kuna huo mti na vi2nda vyake vina ladha kama ya nazi.....watoto wengi wanazipenda kwel
 
Daah nimekumbuka nlivyokuwa mdogo nlivyokuwa navipasua, kwa mawe! Vidole sasa ni ngeu tu..
Mara nyingine tulikuwa tunavipasha moto ndio tupasue, vinakuwa vitamu balaa!
Balaa lake ni huo mti majani yake yana miiba flani hivi ukipanda ukishuka mwili wote unakuwa na maumivu ya kuchanwa chanwa na majani yake...
 
Kwa huku Mbeya vijijini hiyo mimei nimeiona sehemu moja MSHEWE VILLAGE katika chuo cha biblia cha kanisa la uinjilisti na ni wazungu walipanda na ipo miti miwili tu
 
Hili tunda lilinifanya ni pigwe uzi kwapa la kushoto nikiwa shule ya Arusha school miaka ileeeee nilipokuwa juu ya mti mara nikajisahu nipo juu ya mti yaani nilipiga chini puu!!
 
hahaha sisi kwetu tunaita mkaranga,hao ni karanga tukuwa tunacheza utotoni,na tunaenda kununua kwa watu ambao wna miti kam si kwenda kuiba au kuokota mvua zikinyesha.ni tamu san kuzila aseee
Yaa, mkuu kuna sehemu flan tukuyu, enzi za utoto tumechezea saana haya makaranga asee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom