Thanks mkuu, ngoja niyanote kabisa haya majina ya vijiji na vikundi kwa ajili ya urahisi wa kuvitafuta. Asante sana.Mkuu salama<
Mkuranga ipo miche bora mingi sana. Nenda Mkuranga agriculture Research Sub station ipo about 4 kilometer kutoka Mkuranga main stand.
Ukikosa hapo mkuranga kata ya Tambani kijiji cha Kibamba kuna Bustani kubwa ya miche ya embe na Machungwa utapata
ukikosa hapo Nenda Kibiti kuna kikundi cha wakulima bora (QDS certified) wanaitwa Rufiji Environmental group (REG) wana miche zaidi ya 30,000 na wanavarieties zaidi ya 10.
Wakuu nawaheshimu sana.. salaam!!!
ninaomba msaada wa kimawazo kwa anayefahamu channel/soko la maembe hapa nchini..
Ndugu nakupongeza kwa wazo lako zuri la kuwekeza kwa kilimo.Nami nina wazo hilo pia na kwa kilimo hicho pia cha maembe.
Ila nakushauri achana na embe dodo hizo soko lake ni la hapahapa nchini na hazina bei poa.
Kuna aina nzuri na za kisasa za embe na mimi nazifatila ambazo zinaanza kuazaa kuanzia mwaka mmoja na nusu.Na zina soko mapka nchi za uarabuni ukilima vizuri.Nitarudi na maelekezo mazuri soon.
LIWALONALIWE
Mkuu nashukuru sana kwa mwongozo huu nitakua nasubiri iterm ya kwanza kwa hamu sanaNdugu hizi ni aina nne za embe za kisasa ambazo zina soko sana nnje ya nchi na hata hapa nchini.
Apple,Keit,Muyuni NA alfonso.Kwa kila ekari moja unaweza kupata mapaka
- Wapi nitapata miche bora ya kisasa kwa embe dodo-NITAKUPA JIBU SOOON -
- Je nitahitaji miche mingapi kwa kila hekari-KUANZIA MICHE 60
- Je inachukua muda gani kukua mpaka kuanza kuzalisha matunda-MWAKA 1-1/2
- Je mti mmoja wakati wa mavuno unazaa maembe mangapi kwa makadirio-KUANZIA MATUNDA 50 MIAKA 3- MPAKA MATUNDA 200 UUKIFIKISHA MIAKA 5
Ninayo miche ya miembe aina zote. Kila mche ni shs 2500 na ninaizalishia Morogoro. Kwa upande wa Dar es salaam ninaye mzambazaji ambaye ni JB farms . yupo Kibaha kwa Matias. Kunashamba moja ambalo lina mapicha ya mbwa kwa mbele na limeandikwa JB farm. Hapo utapata miche yangu kwa bei hiyo hiyo. Kama up morogoro, unaweza chukulia direct toka shambani kwangu.
Upandaji wa miembe ni meter 10 mche hadi mche na meta 10 mstari hadi mstari. Hii itakupa miche 100 kwa ha moja au miche 40 kwa ekari moja. Usishawishike kupanda zaidi ya hapo kwa aka kwani baada ya miaka mitatu iakuwa kwa kuingiliana na mavuno hayatakuwa mazuri.
Kwa kawaida miche hutoa maua msimu wa maua unaofuata tangu upande. Mfano, ukipanda Mach mwaka huu, july itatoa maua hata kama bado mche haujawa na umbo la kutosha kubeba maembe. haya maua yatoe mara moja na usiruhusu kuwa maembe. Hali kadhalika msimu utakaofuata. Mwaka wapili hup mwembe utakupa kati ya maembe 70-100. Baada ya hapo, maembe yataendela kuongezeka kila mwaka na kama umeutunza vizuri unaweza fika hata mia tano. Hapo utatakiwa kuwa makini maana matawi yatakwanyka kwa kuzidiwa. Utatakiwa wakati mwingine kuyapunguza ili kila tawi libebe uzito litakao uwezo, ila hutakosa maembe 200 hadi 250.
Kwa ajili ya muda naishia hapo, ila tunaweza kuelimishana memgi kuhusu maembe. Mfano magonjwa, pruning, nk. jaribu kuni pm na nitawezakuelimishana zaidi.

Ndugu ungeweka contacts kabisa tukufuate huko Morogoro

Hapo ninakuunga mkono kwamba mdau kwa vile pia unauza mbegu hii ni fursa yako kupromoti zao hili kwa kutoa utaalamu kikamilifu ili kupanua soko lako. Iwapo kuna utaalamu mwingine unautolea chumbani hapo utakuwa hujaitumia fursa hii vizuri, wewe funguka tu ndugu hivyo hivyo kidogo kidogo na kwa kujibu maswali ya wadau hatimae dozi itakamilika, hili eneo la kilimo cha miembe halina ushindani kama wauza vocha, acha tuwe wengi soko la embe la ndani na nje kamwe hatuwezi kulijaza kwa miaka ya hivi karibuni.Mdau hapa jukwaani huwa tuna discourage sana PM labda kwa personal issues tu tafadhari mwaga data hadharani kwa faida ya wengi.Tunashukuru sana kwa mchango wako.Ningependa kujua aina ya maembe yanayofaa kuexport nasikia kuna soko zuri tu la maembe nje ya nchi je ni maembe gani hayo? Pili maembe yanastawi vizuri maeneo gani? Kwa mfano Dodoma yanakubali vizuri? Vp kuhusu Matunzo yake? Yanahitaji nini hasa?