Kilimo cha Bashe hakina dira yoyote, ni porojo tu. Sasa anataka wakulima waisajili mikorosho ili iweje?

🤣🤣Hivi Somalia Kuna mikorosho?
Aanze kuwasaidia ndugu zake wanaokimbia njaa Somalia daily,wakienda south Africa kuomba hifadhi ya ukimbizi
Ndo aje aongelee kilimo Cha Tanzania,the mother Land 🙏
Sisi ni wabaguzi sana.
 
Haya sema, unachotaka kukielewa ni nini?

Mimi siyo "mkuu", Mkuu ni mmoja tu, Muumba mbingu na Ardhi.
Hii ni namna ya kuheshimishana tu humu JF. Nia siyo kukupa nafasi ya Muumba. Hata hivyo Kuna mkuu wa nchi, mkuu wa majeshi, mkuu wa familia.
 
Hii ni namna ya kuheshimishana tu humu JF. Nia siyo kukupa nafasi ya Muumba. Hata hivyo Kuna mkuu wa nchi, mkuu wa majeshi, mkuu wa familia.
Asante sana naona anamakengeza
 
Reactions: Tsh
Viliishia wapi ? Mkapa SI aliviuza vyote au umesahau kiongozi KUWA viwanda vingi na mashirika ya umma viliuzwa kipindi cha. Ben?
Ndio maana nimemshangaa labda angesema anafufua kwa sababu viwanda vilikuwepo, wakauza waliouziwa wakang'oa mashine wakapeleka India.
 
Nimekuelewa sana mkuu.
Asante
 
Nchi hii haina Serikali. Baraza bovu la mawaziri na Rais wa hovyo. It is a rubbish government. Ni matope.
 
Ungeuliza rationale yake badala ya kuvurumisha negativity
 
🤣🤣Hivi Somalia Kuna mikorosho?
Aanze kuwasaidia ndugu zake wanaokimbia njaa Somalia daily,wakienda south Africa kuomba hifadhi ya ukimbizi
Ndo aje aongelee kilimo Cha Tanzania,the mother Land 🙏
Tatizo wa kabila lako wakiteuliwa kuwa Mawaziri hawana jipya
 
🤣🤣Hivi Somalia Kuna mikorosho?
Aanze kuwasaidia ndugu zake wanaokimbia njaa Somalia daily,wakienda south Africa kuomba hifadhi ya ukimbizi
Ndo aje aongelee kilimo Cha Tanzania,the mother Land 🙏
Hakuna mtu anayechagua azaliwe wapi, jinsia yake ,kabila lake au nchi (labda atafute uraia wa kuandikishwa).
Kwa hiyo, huu ubaguzi wa kijingajinga hautufai hata kidogo.
Raia wote wa kuzaliwa wana haki sawa.
Habari za siasa na uwajibikaji serikalini ni mengine hayo na yasihusishwe moja kwa moja na nasaba yake.
 
Kama umewahi kufanya kazi kwenye Agricultural sector ni rahisi kuelewa hoja ya Bashe ilipo.

Hiyo kitu wanaita plant count, ukijua plant count ni rahisi kufanya makadirio sahihi ya inputs(mbolea na madawa) na pia uzalishaji.

Ukijua makadirio ya uzalishaji inakuwezesha kufanya mipango mingine kwa usahihi, mfano marketing na hata processing kulingana na production capacity yako.

Ni kama kufanya sensa ya watu na makazi tu. Kilimo cha kisasa kinataka numbers zijulikane for adequate planning & budgeting.
 
Wewe unaona inawezekana?
Kama wakulima wote wakisajiliwa na idadi sahihi ya miti waliyonayo why not...ni hesabu nyepesi tu ya kujumlisha!

Tatizo lipo kwenye wajinga kuwafanya wakulima wadhani serikali ina nia mbaya.

Truth be said, ukulima wa kisasa unahitaji proper planning. Huwezi kuipata hiyo unless uwe na figures kama hizo za idadi ya wakulima, profiles including age(kuna child labour issues mashambani) locations zao na idadi ya miti.
 
Juzi nikiona Clip yake anaimba ....Achani enjoy ,maisha yenyewe mafupi,Heri ni.......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…