Kilimanjaro Stars yadundwa 'Kiume' na Zanzibar heroes! Yapigwa 2 - 1

Sijawahi kuona timu Mbovu za Taifa kama Taifa Stars na Kilimanjaro Stars, Yaani timu hata ipewe nini inaleta matokeo kiazi. Hakuna mchezaji mwenye uchu na Taifa wanarukaruka kama Swala hawajitoi kwa ajili ya Nchi wanazunguka tu kwenye nchi za watu kujaza UMATI kwenye hoteli zao.

Hivi hadi leo bado tu hatujui michezo imekuwa ajira, siku nasikiliza maneno ya kocha kabla ya kwenda Kenya anajinadi kwa lugha mbilimbili kuwa anajua soka la Tanzania na ataleta mabadiliko kwa vile nilifanya kazi Ulaya na nimesoma huko....... Mineno mingiiii kama vile ni MC wa shughuli za Uswahilini ila matokeo yake timu inaenda kurukaruka dimbani kama wachezaji Raggae wa Jamaica.

Usimba na Uyanga umeshindwa kuzuiliwa katika kuchagua kikosi sahihi watu wanachaguana sijui kwa kutumia vyeti vya kuzaliwa!! Yaani ovyo kuliko ovyo yenyewe.

Wakianza kujipamba kwenye magazeti utahisi ni wanasiasa wanaongea kuliko uhalisia wao.

"Tumepata Timu ya Ajabu haijawahi kutokea"
 
Hawajui kuwa nyuma yao kuna waTz zaidi ya milioni 50,kuwemo ndani ya timu ni nafasi adhimu sana wewe kuonyesha kuwa hakuna makosa kuwaacha wengine na wewe kuchaguliwa...!hawajui thamani yao ndani ya timu,wakirudi wanastahili bakora na kutimuliwa na sio kuwapoza na maneno ya 'mmekufa kiume'
 
Safi sana sisi wazanzibar si watu wakimchezo chezo

Watanganyika hamtuwez kwa vyovyote bado kwenye bikira zetu 72 ambazo tumeandaliwa
Katika hizo 72 mamaaako,shangazi yako,dadaaako na bibi yako wamo? Kwa vile inaruhusiwa hata babaaako na wewe mwenyewe uwemo kama mko bikra ka mushafumiliwa marinda bakini hukohuko kwa mchungaji
 
IMG-20171208-WA0003.jpg
 
Mhhh kushindwa kubaya,kaka kubali kushindwa...huu waraka hautasaidia chochote,nakumbuka Maximo aliwahi kusema Zanzibar iko juu katika viwanja vya kuchezea watoto(maeneo ya wazi)

Mtoto anatakiwa umuwahi tangu mdogo kama unataka afanikiwe kwa chochote kile,ikiwa kimziki,kimichezo,kimasomo nk,Ninachokiona Tanganyika hasa hapa Daresalam viwanja vya wazi vyote vimejengwa ofisi za CCM sasa watoto watapata wapi kujifundisha kucheza mpira au michezo mingine...,aibu kubwa sana kuona watoto hawana sehemu za kucheza lakini tunakimbilia "Flyingover"

Tuanze kufikiri kivingine tutafanikiwa....

SAWA,

Lakini kwa soccer stadiums, Tanzania Bara inaongoza, na owner wake vingi ni hiyohiyo CCM. Labda utengenezwe mfumo wa hivyo viwanja kutumiwa zaidi na watoto angalau tupate faida ya maviwanja yaliyojaa nchi nzima ila ni kama white elephant kuna wakati uwanja wa samora iringa uligeuzwa yard ya kupaki magari ya mizigo.
Idara za mipango miji ya Halmashauri zianze kuzipa uzito bustani, viwanja vya michezo, fukwe kwa sehemu zenye bahari na mito. Hivi ni vitu vina umuhimu sana katika quality ya maisha ya watu na indirectly vinaweza ku influence competetiveness ya wanamichezo wetu.

Taasisi za elimu, afya na mass media nao wanatakiwa watoe mchango tuokoe michezo na kutujengea heshima kama taifa.
 
Kocha kila baada ya neno moja kiingereza pumbavu utafikiri msomi mzuri wa mpira kuliko kocha wa Man U falsafa zake zza kipuuzi yes yes I know I believe nin? Yaan jamaa nimemchukia hatari masifa mengi kumbe mweupe tu
 
SAWA,

Lakini kwa soccer stadiums, Tanzania Bara inaongoza, na owner wake vingi ni hiyohiyo CCM. Labda utengenezwe mfumo wa hivyo viwanja kutumiwa zaidi na watoto angalau tupate faida ya maviwanja yaliyojaa nchi nzima ila ni kama white elephant kuna wakati uwanja wa samora iringa uligeuzwa yard ya kupaki magari ya mizigo.
Idara za mipango miji ya Halmashauri zianze kuzipa uzito bustani, viwanja vya michezo, fukwe kwa sehemu zenye bahari na mito. Hivi ni vitu vina umuhimu sana katika quality ya maisha ya watu na indirectly vinaweza ku influence competetiveness ya wanamichezo wetu.

Taasisi za elimu, afya na mass media nao wanatakiwa watoe mchango tuokoe michezo na kutujengea heshima kama taifa.
Mkuu maneno yako ni ya kweli kabisa,viwanja vya wazi vya kuchezea watoto sio lazima viwe vikubwa,ni viwanja vidogo tu vya wazi vya kufanya watoto wacheze michezo yao hata ukiwa mchezo wa "Nage"au kukimbizana au basketball,Tanzania kuna msemo unaosema watoto ni taifa la kesho,lakini binafsi sijaona kama serikali hii ya CCM imeweka kipaumbee kauli mbiu hii...
open1.jpg
 
Hili linchi hakuna tunachokiweza zaidi ya kupiga makele na porojo tu zakijinga zakujifanya wajuaji kwenye kila kitu kumbe bure kabisa.Mambo mengine yanakera sana.Nchi kubwa,wananchi zaid ya 50 milion bado hakuna tunachokiweza,kuanzia siasa,michezo had mambo yakijamii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom