Hahaha Dokta fika eneo la tukip mara moja utoe huduma ya kwanza.Wahi kituo kilicho karibu na hapo wape taarifa polisi wawahi kuwaokoa kabla wqnanchi hawajawamalizia au piga namba hii haraka 0769231043 ili wapewe msaada wa haraka .
Gari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai,baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Gari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai,baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Unaweza shangaa unakwenda kutoa taarifa na wewe unakamatwa kwa kosa la kushiriki kutazama ajali na unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.Wahi kituo kilicho karibu na hapo wape taarifa polisi wawahi kuwaokoa kabla wqnanchi hawajawamalizia au piga namba hii haraka 0769231043 ili wapewe msaada wa haraka .
Fuso haijaharibika?Gari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai,baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Hapana haiwezekaniUnaweza shangaa unakwenda kutoa taarifa na wewe unakamatwa kwa kosa la kushiriki kutazama ajali na unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
habari njema hiiGari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai,baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Niko mbali bwana na hukoHahaha Dokta fika eneo la kituo mara moja utoe huduma ya kwanza.
"Malipo ni hapa hapa duniani".....Gari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai,baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Acha roho mbaya kumbuka polisi pia ni Baba, mama, watoto, kaka, dada na ndugu zetu.Wamalizieni kama kuna wanao pumua kwa mbali, kimbizeni hao wa fuso hospital.