Kilimanjaro: Nowhere to compare with

jamani mi si mchaga lakini muache chuki binafsi na wachaga
viongozi wao wengi wako commited wa CCM na vyama vingine
Tukubali tukatae sie makabila mengine mengi hatuna asili ya kupendezesha kwetu
Mi nimepita mikoa mingi kidogo tz jamani mingi inafanana DODOM pazuri pale mjini tu kungine majangana wanaoendeleza mji pale%kubwa ni wachaga,wasukuma nk
Wagogi wachache tu wamekalia kulinda.
Shinyanga,kahama pa kwaida sana km hakuna
Kigoma,SINGIDA,RUKWA,MTWARA,TABORA,LINDI NK huwezi fananisha na KLM japo sijafika ila ninaambiwa na watu ninaowaamini
Ushauri makabila mengine tuwe na asili ya kupenda kwetu unless tutaendelea kuwapinga majungu wao wanasongea mbela
 

asante mkuu, nchi yetu hii inatofautiana sana.
 
asante mkuu, nchi yetu hii inatofautiana sana.

penye ukweli lazima tuseme
kuna mikoa wanaendekeza uchawi tuu
ukijenga kwenu bas wanakuua mf:KANDA YA ZIWA,KUSINI NA PWANI japo asa hv wanabadilika
 
penye ukweli lazima tuseme
kuna mikoa wanaendekeza uchawi tuu
ukijenga kwenu bas wanakuua mf:KANDA YA ZIWA,KUSINI NA PWANI japo asa hv wanabadilika

ajabu kuna watu hapa ukisema maendeleo ya sehemu wanasema ni ukabila
 

Pamoja mkuu. Japo uzi ni wa mkoa mzima ila undani wake ni mule mule tu kujustfy maendeleo ya wachagga. Hivi ni lazima kujisifu? Besides, inasaidia nini watu kuzungumzia huo uchagga sooooo muuuuuch.... wanasababisha watu kuwaona wajivuni. In fact, it looks a fact maanake uzi unaohusu huko utaona wanavyojiona ufahari kuwa wachagga as if it was there making. Mbaya sana. Cha msingi ni kupiga kazi kwa kwenda mbele. Acha wengine wakusifu kwa kazi zako.

Mababu zao wangeanza na ujivuni walipokuwa wanaingia mijini hakuna ambae angewapokea. Kila kitabu kizuri kinahimiza watu kujinyenyekesha kwa mafanikio yao. Ndipo wengine watafurahi kuwa jirani nawe. Ona wamarekani wanavyosakamwa, kisa majivuno. Nachojua hao wajivuni hawana lolote walilochangia uchaggani. Aibu na iwe juu yao 🙁
 

Kinachowafanya wajione wachagga ni sisi tunavyowachukulia, mtu akiandika juu ya maendeleo ya Kilimanjaro unaona kama anajisifu? so wanaosema vibaya wasiwajibu?
mbona kuna uzi hapa jukwaani wa kuponda maendeleo ya Moshi?


Kujivuna ndiyo nini? nani kafanya hivyo..
Ni uelewa tu!!!
 

sasa hao ndugu zako watatu ndo wananyumba nyingi kuliko wachagga? we unajua idadi ya wachagga?,

inaonekana haujui ku compare, relevant must be compared with relevant. nahisi unahitaji tuition
 
sasa hao ndugu zako watatu ndo wananyumba nyingi kuliko wachagga? we unajua idadi ya wachagga?,

inaonekana haujui ku compare, relevant must be compared with relevant. nahisi unahitaji tuition

kuna watu wakisikia maendeleo Kilimanjaro wanaumia sana roho..
 

Baada ya Uhuru na Serikali zote zilizofuatia zili Stagnise Mikoa ya Tanga na Kilimanjaro...kuna Wakati unaweza kufikiri haya maeneo yalisuswa..,Huwa nashangaa Sana watu kusema Mikoa imependelewa ..Wakati Mikoa ya Ukanda huu iliona ustaarabu hata kabla ya Uhuru .
Kufa kwa Zao la Mkonge,,kudumaa kwa chai ,kufa kwa viwanda tanga ...na Bandari ya Tanga nayo Ika yumba .....Reli ya Tanga- Moshi- voi - Arusha ..Ina miaka 5 Reli haiajapita Juu yake ...hata Baada ya baadhi ya juhudi Za baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wazawa wa Huko kuomba Kama Serikali haitaki Hiyo Reli iwaachie waongee na wadau ili kubeba mzigo toka Bandari ya Tanga hadi Kenya au Mombasa hadi Tanzania ...Kuleta ushindanii..
Kuna Wakati kwa makusudi kabisa Zao la kahawa liliuwawaa ili tu vijana wakimbie waache kuchagua upinzani ...Sasa Matokeo yake Hao Hao Ndio wamepeleka sumu maeneo mengine....kufa kwa Uchumi kumesababisha vijana wa tanga ,Moshi ..kukimbilia mjini na waliobaki wanakunywa viroba ...hakuna Nguvu kazi

Maendeleo mengi yanayoonekana Sasa Kama Shule ,Barabara Za vijijini zilijengwa na Kodi ya WAKAZI kupitia chagga council ie shule,vyuo,hoteli ,scholarships abroad ..,bunge ,palces etc na Tanga kupitia makampuni makubwa ya mikonge,chai etc

Haya maneno ya upendeleo imefikia mahala yaishe ...Kama Mikoa Hii ingeachiwa iende kwa kasi basi mji uliokuwa ukishindana na Tanga au Noshi ni Nairobi na Mombasa .....kwa Taarifa tu Wakati wa Uhuru Tanga ilikuwa nzuri na imeendelea kuliko DAR
 

umeona sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…