Yaan hata kama unaendelea toafaut ni ndogo mno mkuu mfano ongezeko la nyumba za kisasa , huwez linganisha na mji mdogo kama boma na hii inachingiwa na tamaduni za wachaga za kupadisha thaman ya ardh kupindukia . Mfano ukiwa una milion 5 moshi huwez kupata kiwanja lakin sehem kama boma utapata kiwanja kikubwa na kizur hii imeifanya mji wa boma kukua kwa kasi na watumishi wengi kutoka kcm . Ushirika na mabenk wamejenga boma na kuekeza huko mda si mrefu moshi huenda ikapitwa na bomang'ombe ukwel ndo huo mi ni mcgaga natokea huko moshi unayosema inabadilika kila siku
my friend, its very unfortunate kwamba haujui unayeongea naye, mimi unayeongea na mimi ni mchaga wa rombo mashati, lakini sikai kilimanjaro na baba yetu hajatulelea kilimanjaro pamoja na kwamba at least kila mwaka lazima twende kusalimia ndugu. kwa jinsi nilivyokua mikoa mingine, nikahisi namna wachaga wanavyochukiwa kwasababu ya majivuno kama ya kwako, inaniwia shida sana kusapoti point zako kwasababu naona zitasababisha wachaga waendelee kuchukiwa zaidi mikoa mingine, na watapendwa kilimanjaro na arusha tu. ukabila hauna dili.wrong notion! kama wachagga wamejenga shule nyingi kuliko Dar, au mikoa mingine tegemea kwamba muda siyo mrefu ndio watakao kuwa wengi kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa Nchini na hatimae ndio watakao jaa kwenye soko la ajira na pengine ndio watakao miliki biashara kubwakubwa Nchini.unacho sema wewe ni sawa na mtoto mwenye ndugu wengi waliofanikiwa kimaisha ili hali yeye ni masikini kimaisha halafu ajisikie fahari mafanikio ya ndugu zake wakati yeye anaishi maisha ya kimasikini kabisa!! sasa kama wewe siyo mchagga utajisikiaje fahari na kilimanjaro iliyo fanikiwa wakati kwenu sijui wapi huko watu hata vyoo hawana? wakati huko kwenu maji ya bomba hakuna kabisaa! huko kwenu kuna shule ya sekondari moja au mbili tu? watoto hawapelekwi shule na wanaona fahari kuolewa at 15? kimsingi something must be done katika mikoa mingine ili watu wapende kusoma kikweli na hatimae wapeleke maendeleo huko watokako
ndio kitu cha ajabu ninachokiona, sisi wengine ni wachaga tumezaliwa mikoani na wamama ambao sio wachaga. huku mikoa mingine tunakoishi wachaga wamejenga makazi yao ya kudumu huku, nyamachoma nyingi mitaani ya wachaga, mabaa mengi ya wachaga, maduka mengi ya wachaga na wamejenga makazi ya kudumu huku, sasa tukisema kilimanjaro ni mkoa wetu sisi wachaga peke yake wakati huku mikoani sisi wengine tumezaliwa huku na makazi yetu ya kudumu ni huku je? hawa nao wangekuwa wakabila wakatufukuza tukajenge kilimanjaro tungefanyeje? ndio maana nasema kilimanjaro ni ya watz wote na mikoa mingine yote ni ya watz wote, kama kuna maendeleo basi ni fahari ya watz wote si ya wachaga pekee.Unajua mleta uzi anajibu uzi ulioanzishwa huko nyuma kwamba kwa nini Moshi inakua polepole!!! Sasa mtoa uzi ndo anajibu mapigo kwa hicho alichoeleza. Fine, inaweza kuwa ni kweli lakini uwingi wa shule ni jambo la muda mrefu na siyo indicator ya maendeleo halisi ya eneo. Bado tunapaswa tukubali kwamba speed ya kukua kwa miji miwili maarufu hairidhishi. Na hapa lazima tuseme miji miwili ya Moshi na Tanga kama ingekuwa kwa kasi ile ya zamani hakuna cha Mwanza, Arusha au Mbeya zingetia mguu. Kwa watu wa zamani inasemekana jiji la Tanga lingeendelezwa lingeipita hata Dar na kwa kweli kuna viashiria kuwa Tanga ilijengwa na kupangwa vema halafu baadae ikatoswa au kusahauliwa. Mara nyingi utashi fulani( hasa wa kisiasa) inaweza kuwa chanzo cha yote haya!
sijaelewa hapa, unashindanisha mikoa au makabila, na je, unaisifu kilimanjaro kana kwamba ni mkoa wa kwenu peke yake au mkoa wa watz wote, unajua kwamba hapo moshi kuna watu sio wachaga lakini wana nyumba nyingi kuliko wachaga? na je, kama kilimanjaro kuna shule nyingi si ni vizuri hiyo ni fahari ya watz wote na si ya wachaga peke yao.....kama kuna lami hiyo ni kitu cha kujivunia watz wote na si cha kujivunia wachaga peke yake. ungejua sisi wengine tuna maslahi makubwa sana moshi lakini hata sio wachagga. acha ukabila haukusaidii, ulichokipata hapo ulipo shukuru Mungu usiwasimange wale ambao hawajapata. una umri gani?
Hamna ubishi.
sijawahi fika but mme wangu kafika
jamani anapasifia mpaka natamani nipaone
Nani anakuhujumu??Ila kwa nini ile barabara ya kwenda TPC hainengwi? Nasikia ni sababu za kisiasa maana umuhimu wa ile barabara ni mkubwa hasa baada ya kuwepo kiwanda kingine cha Serengeti beer! Kingine Machine Tools wanakihujumu jamani!! Lile ni bonge la kiwanda ever, kinanisikitisha sana!! kiwatengu
sijaelewa hapa, unashindanisha mikoa au makabila, na je, unaisifu kilimanjaro kana kwamba ni mkoa wa kwenu peke yake au mkoa wa watz wote, unajua kwamba hapo moshi kuna watu sio wachaga lakini wana nyumba nyingi kuliko wachaga? na je, kama kilimanjaro kuna shule nyingi si ni vizuri hiyo ni fahari ya watz wote na si ya wachaga peke yao.....kama kuna lami hiyo ni kitu cha kujivunia watz wote na si cha kujivunia wachaga peke yake. ungejua sisi wengine tuna maslahi makubwa sana moshi lakini hata sio wachagga. acha ukabila haukusaidii, ulichokipata hapo ulipo shukuru Mungu usiwasimange wale ambao hawajapata. una umri gani?
Kwa perception ya Maendeleo,wachaga/wakazi wa kilimanajaro wako juu na huu ni ukweli,kumbuka mimi sio mchaga.
Kwa mikoa 10 niliyoishi hao watu wako tofauti sana.Tuwe wakweli mikoa maskini sana ni ile ambayo waarabu waliikalia na kunauwezekano mkubwa wakazi wake ndio wapinzani wa maendeleo ya mkoa wa kilimanajro.
Wakati wewe unafunga mtaa na kukesha ngoman sijui vigodoron hata kama ni jumatatu wenzio wanakibizana na shule au biashara au kazi.Endeleen ....wakati mwingine dunia inakuwa tamu kwa kuwepo wajinga wajinga kama wewe.Sijui kama hata jamii forum wanaijua
Unavyosema umedumaa unamaanisha nin? kwamba haundelei? na umeulinganisha na Moshi ya mwaka gani ? mimi sio mchaga ila Moshi kila mwaka lazima nifike na huwa naona mabadiliko kila navyokwenda pia nakushaur jarib kuwa unanenda mikoa mingine then unarud unacompare na hiyo mikoa uliyoenda ndo utajua mji unakua au unadumaa. am out
kwani hujuma zimeanza leo?....walihamisha kiwanda cha tanneries,wakakipeleka kanda ya ziwa,chali!...chuo kikuu cha kwanza kujengwa na chama cha ushirika (KNCU) ni MUCCOBS,kahawa ilitumika kuondoa umaskini saana,sasa imehujumiwa,idadi ya wanafunzi waliokuwa wanaenda sekondari iliminywa kuwabana wachaga,pass mark ilikuwa juu kuliko mikoa mingine,wakafanyaje?watoto wakapelekwa kwa wajomba na mashangazi mikoa mingine,wakawa ndio watusuaji,yaani ni mengi mno,kuishika nchi ndio tunawekewa kauzibe,2005 tulisimamisha wagombea wanne,Mrema,Mbowe,Mvungi,Senkoro,mwamko huku nimkubwa jamani msitupige vita jiungeni na sisi!mkuu ni kweli huu mkoa wamejaribu sana kuufanyia hujuma hawawezi..
siyo tpc tu kuna kiwanda cha bia Kibo walikihamishia mwanza, ila watu bado wanayatafuta maisha.
siasa za CCM mbaya sana, cheki mwanga na Same kuliko na Maccm.
Teh teh teh!
Mnywa mbege anarusha ngumi hewani.
We akili zaki na meno yako meusi vinafanana.
Ndio maana Mnakuwa wanachama wa chama cha kukopeshana cha kanisa!
Busara za kondoo ndio husababisha mtu kuandika ulioandika.
Unakubali kuwa CCN ndio iliokuleteeni MAENDELEO halafu hapo hapo UNAIKASHIFU.
Nyie watu mbege zitawatia wazimu.
We huoni wajomba zako wote walioko mjini wameishia KUSHONA VIATU?
Mnywa kinyesi wahedi.
Nyie wanywa mbege moja ya mila zenu ni kuoa dada zenu!
Na mkilewa hata shangazi yako unapitia tu!
Kwa hivyo wewe kutukana kila mara ni km kunywa chai tu!
Narudia tena kukwambia BILA CCM Nyie meno meusi mpaka leo mngekuwa mnaishi kwenye Nyumba za Matope na Mapaa ya majani.
Hamna Shukrani. Ndo maana mkaumbwa na Sura mbovu kama roho zenu.
Sisi wakazi wa mijini tunaomba Mungu Christmas ifike ili Majambazi wote waende vijiji kwao kula Christmas za mbege!
Na tukiwatia mikononi hio mijizi lzm wahare Mtori!