Jamaa mmoja alikuwa anaongea na mzungu namna ilivyovigumu kupanda mlima Kilimanjaro. Ili aeleweke vizuri kwa mzungu maongezi yakawa hivi. Namnukuu, To plant mount Kilimanjaro is not president job akiwa na maana KUPANDA MLIMA KILIMANJARO SI KAZI RAHISI.