Acheni uongo na uzushi, kilimanjaro ni mkoa wenye omba omba tena ni kero kuliko hata wa dar, ombaomba wa kilimanjaro wapo wa aina mbili. wa kwanza wale wanasimamisha magari binafsi ya watu nakuomba lift, hawa wapo watoto wadogo, wanafunzi na watu wazima. we mtu humjui unakaa barabarani unalazimisha lift hadi kero. Aina ya pili wamejaa maofisini, hawa kutwa kutembea na vidaftari kazi yao kubwa kuomba, tena usiombe apate msiba sijui ubarikio, sijui mahafali yaani wanaomba hadi kero. Hawa pia wanapita na madaftari kuomba achangiwe nyumba yake aweke bati au mlango..yaani nimeishi kilimanjaro more than 5yrs now, hawa watu ni kero