Kilimanjaro mkoa usio na ombaomba

Kilimanjaro mkoa usio na ombaomba

Acheni uongo na uzushi, kilimanjaro ni mkoa wenye omba omba tena ni kero kuliko hata wa dar, ombaomba wa kilimanjaro wapo wa aina mbili. wa kwanza wale wanasimamisha magari binafsi ya watu nakuomba lift, hawa wapo watoto wadogo, wanafunzi na watu wazima. we mtu humjui unakaa barabarani unalazimisha lift hadi kero. Aina ya pili wamejaa maofisini, hawa kutwa kutembea na vidaftari kazi yao kubwa kuomba, tena usiombe apate msiba sijui ubarikio, sijui mahafali yaani wanaomba hadi kero. Hawa pia wanapita na madaftari kuomba achangiwe nyumba yake aweke bati au mlango..yaani nimeishi kilimanjaro more than 5yrs now, hawa watu ni kero
 
Kilimanjaro ni mkoa wenye sifa kemkem
Lakini pia ni mkoa ambao hauna ombaomba mwenye miguu mikono na mwenye kila kiungo chake kamili halafu akawa ni omba omba
Wakija huko watalala njaa mchaga hatoi pesaaa
 
Wakazi wa Dodoma nikiwatizama uwa nawadharau sna, Mara kwa Mara nikimaliza matembezi yangu nasogea pale nyerere square kujipumzisha kiasi kisha niendelee na majukumu yang,ukiwa pale unashangaa MTU mzima na akili timamu anakwambia "Namba hela ya kula" utadhani ulikua umemtunzia au anakudai.
 
Utembeage na tanga ujione ombaomba wapo kila sehem
 
niko dodoma hapa karibu na Ofisi kuu ya Chama aisee ni balaa wamejaa sana.
 
Na haoo waliopo karibu na CRDB Keepleft acha uongoo mkuu na achaa kujisifiaa mkuuu na ijumaa wanajitokezaa wengii wanapita maofisini kuombaombaa mkuuuu
 
dodoma ata uchenchi milioni moja iwe kwenye sarafu za 50 ukizinguka kwanzia stendi ya hombolo njoo katiza stendi ya mkoa uje ufike stetion ya reli kila omba omba utakaekutana nae hio ela itakuwa imeisha na bado wengune watakuwa wanakuomba
 
Dodoma nimeishi miaka miwili.

Nilichogundua jamaa wa huko ni wavivu wa asili, wao wanapenda kunywa choya na kucheza vingoma mida ya jioni jioni
 
Mtoa mada si mkazi wa Moshi mjini ...na hapajui moshi
 
Dodoma nimeishi miaka miwili.

Nilichogundua jamaa wa huko ni wavivu wa asili, wao wanapenda kunywa choya na kucheza vingoma mida ya jioni jioni
usiombe wakukute bar alafu wajue ww ni mwanafunzi utaombwa mpk ela ya chakula cha kesho
 
Dar kuna omba omba wa aina tatu

1:- Wagogo toka Dodoma jimbo la Mkuu wa Mjengoni.

2:- Ombaomba smart ,Anajifanya kapoteza nauli ama anatakiwa kwenda pahala,Ama kaitiwa kazibanakupiga mzinga.

3:- Mapolisi ombaomba,Hawa wakijua dukani kwako wanakuja omba omba bidhaa
 
Back
Top Bottom