Kilimanjaro Marathon 26/02/2017

mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,780
1,846
Kwa wale wapenzi wa kukimbia mbio marathoni ndefu na marathoni fupi (Full marathon 42.2km & half marathon 21.1km) tuna muda wa kufanya mazoezi. Tukutane mkoa wa Kilimanjaro katika wilaya ya Moshi mjini, katika viwanja vya Ushirika tarehe 26/02/2017 siku ya jumapili.

Kwa wale watakaopenda kujiandikisha wanaweza tumia njia hizi

Usajili Dar es Salaam

TAREHE : 18 & 19 February Jumamosi Na Jumapili.

MUDA: Kuanzia Saa Tatu Asubuhi hadi Saa Kumi Na moja Jioni.

MAHALI: Mlimani City ( maeneo ya CRDB BANK )

Usajili Arusha:

TAREHE: 21 & 22 February - Jumanne na Jumatano

MUDA: Kuanzia saa Nane Mchana hadi saa Mbili Usiku.

MAHALI: Kibo Palace Hotel ( Mlango wa Nyuma Parking )

Usajili Moshi

Tarehe 23 February saa Sita Mchan hadi saa Kumi na Moja Jioni

Tarehe 24 February Saa Tatu Asubuhi Had Saa Kumi Na Moja Jioni

Tarehe 25 February Saa Tatu asubuhi hadi saa Sita Mjana

Mahali: Keys Hotel .Uru Road

Full Marathon:
Kiingilio tu – Raia wa Afrika Mashariki TSH 10000/ Wakazi wa Afrika Mashariki $35
Half Marathon:
Kiingilio tu – Raia wa Afrika Mashariki TSH 8000/ Wakazi wa Afrika Mashariki $35
5km Fun Run:
Kiingilio tu – Raia wa Afrika Mashariki TSH 4000/ Wakazi wa Afrika Mashariki $3
10km Wheelchair/Racing Category:
Kiingilio tu – Raia wa Afrika Mashariki 3,000/ Wakazi wa Afrika Mashariki $2

Waweza tembelea link hii kwa maelezo zaidi Welcome to The Kilimanjaro Marathon | Full marathon, half marathon, fun run

Fomu ya kujiunga huwa ipo namna hii
2017-Entry-form-Kiswahili-(1).jpg
 
Badilisha title basi manake 27th ni Jumatatu na Marathon siku zote ni Jumapili
Ahsante mkuu, nimekosea hapo kwenye tarehe ilitakiwa isomeke 26/02/2017. Naimani Mod watanisaidia maana hapo kwenye kuedit title siyo pa kimchezo mchezo.
 
Back
Top Bottom