dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,138
- 3,042
Muhimu limetokea TANGANNYIKA!! tabia zenu zinafanana tuuMbona hili tukio ni la Katavi.
Muhimu limetokea TANGANNYIKA!! tabia zenu zinafanana tuuMbona hili tukio ni la Katavi.
Nadhani n kulea tu ktk misingi bora kwani huyu alilelewa kabla ya hizi kauli..Kuna yule jamaa kasema watoto wasipigwe.
Nadhani tutaona mengi
Hakuna mchaga mwenye hiyo tabia ya kichawiMuhimu limetokea TANGANNYIKA!! tabia zenu zinafanana tuu
Atajutia maisha yake yote kenge huyo na shida zitamuandama mbwa huyo
Hahahaaaa haaaaahaa nimehuzunikaa wee niliposoma hii coment nkajikuta nacheka kwa sauti bila kupendaNdo mana katika uislam kuna dua ya kuomba kabla ya tendo la ndoa
sure..halafu linafuata pgo la kiuchumi halafu afya ya mwili au akili au vyote ndo vinamaliziaNahisi kama pigo la kwanza dogo litakalompata huyu kijana mpuuzi ni la kuachwa na mkewe. Kwa sababu huyo mke atapata wapi ujasiri wa kuendelea kuwa na mme asiyekuwa na akili timamu kama huyo? Kama kaweza kumuua mama yake kwa matusi, atashindwa nini kumuua mkewe kwa namna yoyote ile? Hapo mkewe lazima aepuke tatizo mapema.
mda mwingine hakuna uhusiano wa malezi na kuharibikiwa akili ya mtu binafsi uovu hupanda moyoni kwa tu muda wowoteNadhani n kulea tu ktk misingi bora kwani huyu alilelewa kabla ya hizi kauli..
kuna namna ya utoaji wa taarifa kutoka sehemu A kwenda sehemu B...........hapo litaonekana tukio la Mama mna Mtoto unaeza kuta kichocheo cha hilo jambo ni mtu C huwezi ukaambiwa tu kawaida mama yako anakudai ile hela ukapanick tofauti na ukiambiwa huyo mama yako ameshaanza makelele na anajua mtoto anaumwa emb kaongee nae matatizo mengi huja na namna za utoaji taarifa ukiacha akili za wahusika wengi vinywa ni silaha tumekaa nazo...............Kumuchukia mama yako ndo umwambie ni bora ungenyonya maziwa ya mbwa kuliko maziwa yake?
Ujue saa nyingne tunasaidia watu/omba omba mtaani/barabarani kumbe ni mijitu km hii pasipo kujua, kumbe ulipaswa ulisindikize na kofi la uso na kumpokonya hata alichonacho, pumbavu kbsa
Hawa omba omba wanatupa mthan na majarb sana kwa muumba kujua yupi unapaswa kumsaidiwa kweli na yupi una haki hata ya kumuongezea matatzo, maana jitu km hili siku si nying litaingia barabaram nalo linaomba mia mbili ya chakula.
Uwe unasoma kuelewa na si kujibu.. Nilijibu kutegemeana na post niliyoi-quote. Mimi sijawahi kumtusi mzazi ila haimaanishi kuwa hakuna wanaoteleza na kufanya hilo, Ni sehemu ya ubinadamu lakini sio kwa kiwango cha matusi aliyotukanwa marehemuWewe vipi na wewe usiseme "huwezi mtukana mzazi KIASI HICHO"
Tukikuuliza kumbe unaweza mtukana mzazi kwa KIASI GANI?
Utajibuje??
Kuna KIASI cha kumtukana Mzazi kinachokubalika?
Pole sana naona umepanikiWatu kama ww nawamaind kinyama..aliekwambia kuna siku ya mwisho nan??
Huyo jamaa amefanya upumbav wa kiwango cha rami lkn sio sabb ya kusema siku za mwisho!!
Mbona zaman binti walimnyeesha pombe mzee wao na wakajigegedesha nae nazo zilikuwa siku za mwisho!??
Upumbav (kama wa huyo jamaa) upo toka zaman