Kilimanjaro: Mama afariki dunia baada ya kuporomoshewa matusi na mtoto wake wa kiume

Daah! Mwili wangu umesisimka.

Niseme tu sio huyo pekee, vijana wengi hasa hawa wanaojitumbukiza kwenye uvutaji wa bhangi na mapombe makali wengi hawana staha kwa wazazi wao na ndio sababu si ajabu kuona mtoto anampiga mzazi wake tena bila woga wala hofu.

Nionavyo kikubwa tusichoke kuwaombea watoto wetu ili wawe ni mwenye kuishi na kupita katika njia zilizo sahihi.
Daah "emancipate yourself from mental slavery" ..kama huna uhakika na unachokisema usidanganye umma, ujinga wa mtu hausiana na bangi..MNAZINGUA SANA
 
Daah "emancipate yourself from mental slavery" ..kama huna uhakika na unachokisema usidanganye umma, ujinga wa mtu hausiana na bangi..MNAZINGUA SANA
Khaaaaa.
Bro kwani bangi inahusiana vipi na kumtukana mama? Usiiseme vibaya bangi kisa ujinga wa mtu binafsi..
Kwa hii Post ndio imenifanya nielewe Povu lako limetokea wapi.

Ukweli ndio huo kama wewe unaivuta na unastaha mshukuru Mungu kwani wenzio huwa zinawavuruga akili.
 
Kwakweli sijawai ona Mkoa wenye Matusi ya kutamka kiungo cha mwanamke kama Arusha na Kilimanjaro.
Yaani K kutamkwa ni nje nje.
Ilinipa shida kuzoea mtaani.
 
Khaaaaa.

Kwa hii Post ndio imenifanya nielewe Povu lako limetokea wapi.

Ukweli ndio huo kama wewe unaivuta na unastaha mshukuru Mungu kwani wenzio huwa zinawavuruga akili.
Nijibu kwa uelewa wako, sio habari za POVU hilo ni neno lisilo na mantiki yeyote..
Kama huwezi kudadavua impact ya kuvuta bangi na kutukana mzazi kwa nini usinyamaze?
Usiongee maneno cheap, be conscious
 
Kwakweli sijawai ona Mkoa wenye Matusi ya kutamka kiungo cha mwanamke kama Arusha na Kilimanjaro.
Yaani K kutamkwa ni nje nje.
Ilinipa shida kuzoea mtaani.
Mleta mada fuatilia vizuri chanzo chako, hii issue ni ya Rukwa kama sikosei.
 
Nijibu kwa uelewa wako, sio habari za POVU hilo ni neno lisilo na mantiki yeyote..
Kama huwezi kudadavua impact ya kuvuta bangi na kutukana mzazi kwa nini usinyamaze?
Usiongee maneno cheap, be conscious
Kwa style uliyokuja nayo hata kama najua nisingekwambia. Zipo kauli za kistarabu la sio ile yako.

Bye. 🚶‍♀️🚶‍♀️
 
Hii hapa.
IMG-20190617-WA0026.jpg
 
Kwa style uliyokuja nayo hata kama najua nisingekwambia. Zipo kauli za kistarabu la sio ile yako.

Bye. ‍♀️‍♀️
Jibu halitegemei style ya kuja..hata kama nimekuja vibaya ungetujitofautisha kwa kunipa majibu ya mantiki mwishowe ningejiona mjinga...Ila sio kesi ..ONE LOVE.
 
Maskini nimeyasikia vizuri tu maumivu ya huyo mama na ukute alijifungua kijana wake kwa shida kamlea kwa tabu bado anakuja kupokea zawadi ya matusi yote hayo so sad kwa kweli
Mama kwa upendo alokuwa nao aliweza hadi kumuazima mwanae pesa ili tu kuificha aibu ya mwanae. Lkn mtoto hakujua hilo. Nna mashaka na mkewe pia inawezekana alichangia kwa namna moja au nyingine. Daah.... nimeumia sana!
 
Hakuna Cha kuhalalisha upuuzi uliofanywa. Hata uwe na hasira kiasi gani, huwezi kumtukana mzazi kiasi hicho
Wewe vipi na wewe usiseme "huwezi mtukana mzazi KIASI HICHO"
Tukikuuliza kumbe unaweza mtukana mzazi kwa KIASI GANI?
Utajibuje??
Kuna KIASI cha kumtukana Mzazi kinachokubalika?
 
imenisikitisha sana hi, huyo kijana inatakiwa akate uume amtumikie Mungu labd nd wanajamii tutamuelewa!
 
Back
Top Bottom