Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,475
- 103,335
Hilo jani halimaanishi msamaha tuu bali amani na furaha. Mzee mzima kakurupuka..
Bashite umeandika nini...Ndogo za alinacha
Hapana, safari hii tudili na hao wanaomshindisha kwanza ili wakome kumshindisha asiyeshinda.Na kweli ni ndoto maana hata akishindwa atashindishwa tu kama alivyoshindishwa.
Tatizo lako ni elimu ya kukariri na Bashite simjuiBashite umeandika nini...
ndio ni kosa. upinzani ni hovyoo sanaaaaaKwa kauli aliyotamka Mhe.Raisi kilimanjaro kwa kusema amewasamehe kwa kuchagua upinzani, kuna haja gani ya vyama vingi?
Jimbo la Hai kuchagua chama pinzani ni kosa?
Hatambui kuichagua CCM toka 1995 ndio kosa kubwa na ndio sababu ya kudolola kwa uchumi wa TANZANIA toka uhuru.
View attachment 502815
Tunaomba viongozi wetu wawe wanaandikiwa hotuba.
Mbeya walikuja waafrika kusini walitaka kujenga kiwanda cha kuzalisha umeme kupitia taka chafu serikali ilikataza tokana Mbeya Mjini na Mbeya kiujumla kuwa na wafuasi wengi wa vyama pinzani wakaja DAR wajerumani nao walitaka kufanya wa-afrika kusini serikali ikazuia.
Moshi kisa upinzani ujenzi wa stendi ukahamishiwa anakotaka Rais.
Hatuwezi kuendelea kwa staili ya kusema CCM ITAWALE daima.
Mhe. Rais tunaomba u-deal na mafisadi wa serikali zilizopita hata kama wanatoka CCM mbona nchi za wenzetu watu wanafungwa miaka mingi tokana na hatia za 1960 shuka chini?
Wewe serikali iliyopita tu unashindwa? Kamata Tibaijuka, Ngeleja, Chenge na wengine wote funga mpaka Lowassa.
Najua hakushinda ila alitangazwa tu na kile kizee cha kondoa...Kwani wewe huamini kwamba Magu kandinda kwa golu la mkoni? Huyu jamaa hakushinda uchaguzi .Anausongo sana na upinzani.Akili yake nyingi katika awamu yake hii ni kuodhofhsha upinzani. Ili uchaguzi ujao ajaribu khshinda kiuhalali.Tatizo letu watanzania njaa zinatusumbua sana.Viongozi wengine wa upinzani wanakubali kurubuniwa na majambazi ccm kurahisi kusaliti vyama vyao.Wapinzanu wanatakuqa wawe imara sana ili kumuondoa mkoloni ccm madarakani.
Sasa hivi anafanya maigizo tu...Mkuu umesema na langu,, yaani mimi sasa hivi hata sihangaiki naye kabisa nimeshajua tumekula hasara sasa ya nini kukaa najinyima raha kiasi hicho? Yeye afanye tu anavyotaka lakini 2020 haki ya nani hata atambalie tumbo badala ya push-up hapati kura yangu!! Kwani huko Moshi ameona kuna mahali ma Mangi wamelegalega katika kupiga maendeleo?
Haya tueleze wewe. AMEWASAMEHE KWA LIPI???Hajasema nimewasamehe kwa kuchagua upinzan mbona unataka kutuaminisha unachowaza wewe??
Hakuwa na cha kuwaambia, unadhani angesema nini? Ccm mkoa wa Kilimanjaro ndiyo wenye ziara, wanadhani Rais atawasaidia kurudiwa na wananchi. Walishapewa talaka tatu, wasahauKwani walimwomba msamaha?
Sikushangai kwani hata mwovu hakosi wafuasi..Ikiwa siishi kama shetani kwa sasa kwa lipi hasa utanishawishi niamini kuwa huyu jamaa hafai?
Bado sana kwa kweli.



Wanaccm ndiyo waliojibebesha hayo majani. Kwani Kilimanjaro imeanza kuukubali upinzani leo?Rais amewajibu wananchi baada ya kubebe majani kama ishara ya kumuomba msamaha.
Rais amesema nimewaelewa na nimewasamehe.. sasa hayo ya kusema sababu ni kuchagua upinzani unatakiwa kuwauliza walio omba msamaha.
Tanzania hakuna upinzani bora ufe tuwe na chama kimoja then tuchagulie humo watuUpinzani uko wapi? Amkeni naona bado mnakula mbonji nzito, upinzani ni saccos za watu,kama tungekuwa na upinzani imara kama kenya nadhani hata kina jpm wasingebeza upinzani wao tatzo ccm inajiamn maana inajua hakuna wapinzani ni wanafiki tu