Kilimanjaro Desemba 2013

Kilimanjaro Desemba 2013

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Karibuni wadau wa utalii wa ndani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.Mwezi desemba tumendaa trip nyingine ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa njia ya MARANGU kwa muda wa siku 6 kupanda na kushuka.Gharama zetu ni nafuu na tuna timu yenye uzoefu mkubwa wa kupandisha wageni mlimani.Trip zitanza 20/12/2013 hadi 30/12/2013 kila siku kutakuwa na kundi la kuondoka(daily group departure) Kujiandikisha au maulizo piga 0787140432 au tuma email kwenda infotanzaniaa@gmail.com JIANDIKISHE MAPEMA KUONDOA USUMBUFU.!@!
 
Kwani si tunaruhusiwa pia kuuliza humu humu?
 
Packages zenu ziko vipi,nina mpango huo na co-workers.
 
Packages zenu ziko vipi,nina mpango huo na co-workers.
Package zetu ni nafuu sana laki tatu kwa siku zote 6 (Price includes😛ark fee,climb equipment,meals,porters and mountain guide)
 
Trip inaanzia wap yaan mkoa gan na bei ya jumla kupanda na kushuka ni sh.ngap??
 
Trip inaanzia wap yaan mkoa gan na bei ya jumla kupanda na kushuka ni sh.ngap??
Trip itaanzia Moshi mjini tarehe tajwa hapo juu.Gharama ni nafuu sana laki tatu kwa siku zote 6 (Price includes😛ark fee,climb equipment,meals,porters and mountain guide) Kama ulikuwa na ndoto za kupanda mlima huu ndo muda wako..!@!
 
Package zetu ni nafuu sana laki tatu kwa siku zote 6 (Price includes😛ark fee,climb equipment,meals,porters and mountain guide)

I assume that price is for a single person,what if wanna do it in a group?
 
Karibuni wadau wa utalii wa ndani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.Mwezi desemba tumendaa trip nyingine ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa njia ya MARANGU kwa muda wa siku 6 kupanda na kushuka.Gharama zetu ni nafuu na tuna timu yenye uzoefu mkubwa wa kupandisha wageni mlimani.Trip zitanza 20/12/2013 hadi 30/12/2013 kila siku kutakuwa na kundi la kuondoka(daily group departure) Kujiandikisha au maulizo piga 0787140432 au tuma email kwenda infotanzaniaa@gmail.com
Mkuu shukrani nyingi Tungependa kujua umri gani unaoruhusiwa kiafya ? kwa sbb za kiafya tu !!
 
I assume that price is for a single person,what if wanna do it in a group?
Confirm ni watu wangapi wapo kwenye group lako,kisha tutaongea tokea hapo.Ila ni kama mtu mmoja mmoja pesa ni hiyo net.
 
Mkuu shukrani nyingi Tungependa kujua umri gani unaoruhusiwa kiafya ? kwa sbb za kiafya tu !!
Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea hadi 60 kutegemea na afya ya mtu.Wenye magonjwa ya ASMA,KISUKARI,BP,HIV/AIDS SIO walengwa kwenye hii trip.
 
Back
Top Bottom