kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Kwa wakazi wa dar wenye magari na mnaotumia barabara za osterbay najua jina la Kilima Nye@%e sio geni kwenu.Nipeni shuhuda zenu.Je ni kweli ukiwa ndani ya gari na ikashuka hako ka mteremko kwa speed unajihisi Nye@%em au ni stori tuu za mjini.Mimi mshamba wa huku mpitimbi nimeshauza mazao yangu,napanga kuja dar kununua ka private transport na Barabara yangu ya kwanza kuuzia sura itakuwa ni hiyo ya Osterbay-Kilima Nye@%e.Haya Wadada/Wakaka wakazi wa Dar tiririkeni kutoa shuhuda zenu kuhusu mambo ya Kilima Nye@%e.