Kilichotokea Venezuela kimeprove kuwa Russia sio chochote duniani

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,395
Kumbe Warusi ni hamna kitu unajua natype huku nacheka tu washirika wake wananyolewa tu yeye yupo tu.

Ukiachana Cuba, Venezuela ndo alikua mshirika wa uhakika wa Moscow kwenye eneo la America ya Kusini

Lakini sio hivyo tu Ona Syria ilivyochukuliwa kizembe na magaidi

Ona Iran Israel alivyoanza mashambulizi ya vita vya siku 12 Russia hakutoa msaada wowote ule kama Iran wasingetoa majibu mazito kwenye ile vita wakae wamsubiri mrusi sahivi Iran ingekua tayar imedondoka.

Russia sio mshirika wa kuaminika hata chembe yeye labda tumuamini kwenye kutengeneza pombe kali vodka tu

Ni sawa na China waingia pale Israel wamkamate Netanyahu halafu US et isifanye kitu.

Urusi ni super power la mchongo nimeamini hilo.

Hapo US atatajirika kinoma maana jamaa wana akiba kubwa ya mafuta kuliko nchi yoyote ile duniani

Madhara ya kutengeneza matatizo ya ndani hata kama una nia njema wananchi wako wataungana na watesi wako kukushughulikia....Wananchi wa Venezuela wameona bora washikane mkono wa Shetani mkuu US apore mafuta tu kwasababu serikali ya maduro ilikua inaua wananchi na kuwatesa na kuwakandamiza sana.

Imagine Wavenezuela wangekua hawatekwi, hawauliwi, hawafanyiwi ufisadi na watawala hawanyimwi huru leo US angetimba wananchi wangeungana na serikali kumkabili US lakini mambo yamekua vise versa kwasababu ya ubaya kuzidi uzuri wa kitu.

The same hapa kwetu, US wakija kumtoa huyu mtu wetu in exchange na Uranium tupo tayari maana utawala huu umeua raia zaidi ya elfu 10 ndani ya siku 3 tu na kila aina ya oppression wananchi wanapitia, huku ufisadi ukishamiri na hali ikizidi kuwa mbaya

Mpeni salam bi "Who are you" huu mwaka 2026 hauishi na hatoboi amini nawaambia, hatma yake itakua kama hii ya maduro au yule dikteta wa Romania.

Mmeona sasa Russia ni hamna kitu ni dola la mchongo tu
 
Kumbe Warusi ni hamna kitu
emoji23.png
unajua natype huku nacheka tu washirika wake wananyolewa tu yeye yupo tu.

Ukiachana Cuba, Venezuela ndo alikua mshirika wa uhakika wa Moscow kwenye eneo la America ya Kusini

Lakini sio hivyo tu Ona Syria ilivyochukuliwa kizembe na magaidi

Ona Iran Israel alivyoanza mashambulizi ya vita vya siku 12 Russia hakutoa msaada wowote ule kama Iran wasingetoa majibu mazito kwenye ile vita wakae wamsubiri mrusi sahivi Iran isingedondoka.

Russia sio mshirika wa kuaminika hata chembe yeye labda tumuamini kwenye kutengeneza pombe kali vodka tu
emoji23.png

Ni sawa na China waingia pale Israel wamkamate Netanyahu halafu US et isifanye kitu.

Urusi ni super power la mchongo nimeamini hilo.

Hapo US atatajirika kinoma maana jamaa wana akiba kubwa ya mafuta kuliko nchi yoyote ile duniani

Madhara ya kutengeneza matatizo ya ndani hata kama una nia njema wananchi wako wataungana na wateso wako kukushughulikia....Wananchi wa Venezuela wameona bora washikane mkono wa Shetani mkuu US apore mafuta tu kwasababu serikali ya maduro ilikua inaua wananchi na kuwatesa na kuwakandamiza sana.

Imagine Wavenezuela wangekua hawatekwi, hawauliwi, hawafanyiwi ufisadi na watawala hawanyimwi huru leo US angetimba wananchi wangeungana na serikali kumkabili US lakini mambo yamekua vise versa kwasababu ya ubaya kuzidi uzuri wa kitu.

The same hapa kwetu, US wakija kumtoa huyu mtu wetu in exchange na Uranium tupo tayari maana utawala huu umeua raia zaidi ya elfu 10 ndani ya siku 3 tu na kila aina ya oppression wananchi wanapitia, huku ufisadi ukishamiri na hali ikizidi kuwa mbaya

Mpeni salam bi "Who are you" huu mwaka 2026 hauishi na hatoboi amini nawaambia, hatma yake itakua kama hii ya maduro au yule dikteta wa Romania.

Mmeona sasa Russia ni hamna kitu ni dola la mchongo tu
ASHAKULA PIZA ANAANGALIA WALIVYOMNYAKUA KWENYE MAKAZI YAKE YA MILELE 😆 😂 😆 😂 😆 😂
MAKE GREAT 🇻🇪

Attachments

  • 1767470646283.jpg
    1767470646283.jpg
    79.8 KB · Views: 9
Hii dunia cheza tu na akili za raia wajinga , wao wanajiona ndio wajanja , wa kileo , democratic kweli kweli kumbe ndio mazombi wasiojiekewa..kuna mtu anadhani GEN Z - Kenya ndio wakisasa
 
Waje Malawi
Tutawalipa
 
Sasa Marekani inasubiri nini kutuma midege kwenda Kremlin kumteka Putin kama Maduro

Halafu mbona Venezuela hana military alliance na China wala Urusi

Lingine kwa nini Marekani inadeal na mataifa dhaifu sana duniani eti Venezuela nchi ambayo tayari imefirisika kiuchumi

Kama yeye ni mbabe aingie Russia au China aone au atishie kuwa utawala wa bwana Xi au Putin undoke madarakani kama alivyokuwa anamwambia Maduro

Ukiwa na nguvu ya kijeshi na nyuklia lazima Marekani ikuheshimu
 
Mnaongea kana kwamba nchi imebebwa na USA,hapo shughuli bado,hayo mafuta na madini sidhani kama watayanywa, Venezuela itakua zaidi ya Iraq
Trump alisema vice president kasema watafanya kila wanachotaka marekani,vice president punde kasema hawawezi achia nchi itawaliwe na marekani,watapambana,ukiacha jeshi rasmi kuna militia walipewa silaha
 
Hii dunia cheza tu na akili za raia wajinga , wao wanajiona ndio wajanja , wa kileo , democratic kweli kweli kumbe ndio mazombi wasiojiekewa..kuna mtu anadhani GEN Z - Kenya ndio wakisasa
Gen z ni kizazi ovyo haijapata tokea,yapoyapi tu, uelewa duni,mavivu kufikiri,yanependa rahisi rahisi, hayana uzalendo, hayana adabu
 
Sasa Marekani inasubiri nini kutuma midege kwenda Kremlin kumteka Putin kama Maduro

Halafu mbona Venezuela hana military alliance na China wala Urusi

Lingine kwa nini Marekani inadeal na mataifa dhaifu sana duniani eti Venezuela nchi ambayo tayari imefirisika kiuchumi

Kama yeye ni mbabe aingie Russia au China aone au atishie kuwa utawala wa bwana Xi au Putin undoke madarakani kama alivyokuwa anamwambia Maduro

Ukiwa na nguvu ya kijeshi na nyuklia lazima Marekani ikuheshimu
Ukitaka uone power ya mmarekani mwambie huyo mchina aenda ajaribu kumpiga Netanyaua anayewasumbua mnaowaita washirika wa mchina ambao ni Irani Syria na vikundi vyao vya kigaidi. USA hawezi kukodoa macho kama mchina anavyokodoa macho mshirika wake Maduro anavyonyakuliwa.
 
Sasa China ina shida gani na Netanyahu au Israel? China ni crucial trade partner wa Israel. Unaongea pumba sana
 
USA
AKA TRUMP.MKUU HAIJAWAHI.KUPIGANA VITA YA KENGESE

POPOTE PALE INAINGIZA.TIMU IMA.MASLAHI MA.KUBWA NA ITATUMIA LOLOTE KUPAMBANA

HIVI **** LTR KADHAA ZA.MAFUTQ WAME ZIWEKA KWAPAN

HAWAJAJA WANAITWA WAWEKEZAJI.TOKA USA 🇺🇸

UTAWAPENDA TU

CUBA IJJINDAE NIKO.KWA.MASSAWE

NASUBIRIA MECHI YA TAIFASTAR
 
Back
Top Bottom