Hahaha mkuu watu wanezidsha kumuabudu hadi kerosio kila kitu lawama ziende kwa magu,hao wakurugenzi wazembe na wafanyakazi idara ya maji hapo tunduru unadhani hawajijui ni wazembe ? lazima wanatafuta njia ya kuzima watu,na ndivyo ilivyo tanzania yote, pia mimi hua nakereka viongozi hasa mawaziri kumtaja rais kila mara,kuna siku waziri wa viwanda anakunywa maziwa then anasema bila magu yasingekuwepo hayo maziwa huko tanga wkati mimi nimeyanywa hata b4 magu kuwa rais

Huyu aliyepoteza mikono nahisi ni yule alifungwa mipira na afisa mtendaji ikafanya damu isiflow km inavyotakiwa na kusababisha mikono yake kuoza hatimae kukatwa.Kama wewe ni mfuatiliaji wa tamthilia ya Sultan bila shaka utakubaliana nami kwamba sio tu ni ngumu kwa kiongozi kuwa na taarifa sahihi bali pia ni hatari zaidi anapozungukwa na watu wanaomsifia kwa lengo la kulinda maslahi yao.imekuwa ni kama fashion kwa kila mteule wa Rais akisimama sehemu kuzungumza ni lazima amtaje tena kwa kumsifia na kwa majina yake yote kamili kana kwamba wote wameambiwa ni jinai Kutokumtaja kila wapatapo fursa huku wakitumia kila nguvu kuhakikisha hajui au hapati taarifa sahihi za kinachoendelea ktk uhalisia.labda wameambiwa kwamba anapenda sifa tu na kwamba ukimsifia anakuwa upande wako!
Wakati hotuba ya Rais ikiendelea pale makambako mara nikasikia Rais akiwaambia wana usalama wamwache na bango lake Mwananchi fulani aliekuwa ameminywa na kuchaniwa bango lake nikashangaa nguvu kubwa inayotumika kuzuia wananchi wenye mapenzi na Rais wao wasiweze kumfikishia kero zao hadi mwingine alifikia hatua ya kulalamika kwamba aling’olewa nywele .. mara nikakumbuka jinsi wananchi wa Tunduru Mkoani Ruvuma ambavyo walisachiwa na hata kupigwa na kuondolewa ktk eneo la mkutano kisa kuwa na bango lenye ujumbe kwa Rais wao mpendwa...
Nikamkumbuka kilema mmoja aliepoteza mikono yake yote miwili ambae alisafiri kutoka mbali kijijini kwa matumaini ya kuja kumweleza Rais masaibu yake namna ambavyo aliburutwa kama jambazi na kutupwa nje ya eneo la mkutano.najiuliza tutampata wapi Rais tumweleze kero zetu ikiwa ktk mikutano yake nguvu kubwa inatumika kuhakikisha wananchi hawafungui midomo yao?
Yule Mwananchi wa Makambako ujumbe wake pia ulifanana na hali halisi ya Tunduru maana ulihusu Idara ya maji.kama kuna idara yenye watumishi wazembe,wasiowajibika wala kuwajibishwa na wanaoishi kwa mazoea miongoni mwa idara zote za serikali kwa hapa Tunduru namba moja ni idara ya Maji...
Hapa Tunduru siku tatu kabla ya ziara ya mheshimiwa Rais Tulipata maji mfululizo mchana na usiku.
Maji ambayo tulishasahau kama huwa yanapatikana na hata baada ya kuyaona wengine waliamua kuyaita maji ya magufuli kwa maana yamekuja kwa sababu ya ziara ya magufuli na ni kweli maana tayari yameshatoweka,kero ambao viongozi wote akiwemo mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wanaijua lakini hawaitatui au hawana maarifa ya kuitatua...
Iliwezekanaje maji yakapatikana wakati wa ziara ya mheshimiwa Rais tu na sio kabla ya hapo au baada ya hapo?bila shaka jibu ni moja tu kwamba viongozi hawa wamejawa na unafiki na hawana nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi au uwezo wao ni Mdogo ktk kutekeleza majukumu Yao.
Barabara za mitaa ambazo zilishajifunga kwa kutopitika zilianza kuchongwa na baadhi ya Mitaro kujengwa,Mitaro na barabara ambazo tangu mwaka jana hazijaguswa.
Kumbe na wenzetu Makambako wana miezi sita hawajaona maji lakini ghafla wakayaona maji ya magufuli.
Mara nikamsikia mheshimiwa Rais anamsifia mkuu wa Wilaya Tunduru ndugu Juma Homera na akasema hata kama kuna mkoa unazubaa zubaa anafaa hata kupewa mkoa...
Baada ya kauli hiyo nikajiridhisha kwamba mheshimiwa Rais hapati taarifa sahihi juu ya watendaji wake na utendaji wao.
Katika tamthilia ya sultan,mambo mengi yanatendeka lakini sultan Suleiman hapati taarifa na akipata haambiwi ukweli bali anafichwa.
Mheshimiwa Rais wananchi wengi wanafurahishwa sana na hatua mbali mbali anazochukua juu ya masuala mbali mbali ya nchi ukiondoa dosari mbili kubwa
Za pesa kuwa ngumu na uminywaji wa demokrasia
Angekuwa hero kwa Taifa...
Lakini watendaji wake wengi hasa ktk Wilaya na mikoa ni bure kabisa,
Wananchi wanaponyimwa fursa ya kueleza ukweli wa kero zao kwa Rais,basi ni nani atamwambia ukweli Rais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuongoza taifa na kuongoza chama nani ana kazi ngumu?Hahaha mleta mada mwenyewe una matatizo, umelalamika kuna tatatizo, lakini mwanzo umesha jilidhisha kwamba eti ANADANGANYWA.
Ukweli ni kwamba hadanganywi, hata yeye uwezo wake ni mdogo, kwa maneno mengine kashindwa kuongoza.
Kama umeona hilo ni tatizo huko, fahamu liko kila mahala na niendelevu. Atajali vipi yeye ikulu yanatoka maji 24/7?
Hizo ni sisa za CCM miaka nenda miaka rudi hazijaanza leo. Jiulize mwenyewe, wakupe maji halafu kwenye kampeni watakwambia nini?
Tumezoea kuambiwa tutaletewa maji, Tangu uhuru mpaka kesho, sasa iweje udhani Anadanganywa?
Tumbili na Nyani ni jamii moja ingawa kitaalam ni wanatofauti lakini kikwetu wote wankula mahindi.
Viazi na mihogo shambani, ukienda shambani ukimkuta nyani na tumbili unawafukuza wote huwezi kusema eti tumbili ni afadhali kwenye uhalibifu wa mazao kuliko nyani.
Binafsi nadhani ,Rais, Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wote hawa ni wapigaji wa siasa tu hakuna mtendaji.
Wangeondolewa tukaanza upya. Kungekuwa na ugonjwa selective ningeomba waupate waugue na wafe CCM wote,kasha tuanze na system mpya ya kiutawala.
Kwa Makambako ulichokisema kuhusu maji ni uongo. Makambako maji yapo muda mrefu tu, labda umesema ni salama.Kama wewe ni mfuatiliaji wa tamthilia ya Sultan bila shaka utakubaliana nami kwamba sio tu ni ngumu kwa kiongozi kuwa na taarifa sahihi bali pia ni hatari zaidi anapozungukwa na watu wanaomsifia kwa lengo la kulinda maslahi yao.
Imekuwa ni kama fashion kwa kila mteule wa Rais akisimama sehemu kuzungumza ni lazima amtaje tena kwa kumsifia na kwa majina yake yote kamili kana kwamba wote wameambiwa ni jinai Kutokumtaja kila wapatapo fursa huku wakitumia kila nguvu kuhakikisha hajui au hapati taarifa sahihi za kinachoendelea ktk uhalisia.Labda wameambiwa kwamba anapenda sifa tu na kwamba ukimsifia anakuwa upande wako!
Wakati hotuba ya Rais ikiendelea pale makambako mara nikasikia Rais akiwaambia wana usalama wamwache na bango lake Mwananchi fulani aliekuwa ameminywa na kuchaniwa bango lake nikashangaa nguvu kubwa inayotumika kuzuia wananchi wenye mapenzi na Rais wao wasiweze kumfikishia kero zao hadi mwingine alifikia hatua ya kulalamika kwamba aling’olewa nywele.
Mara nikakumbuka jinsi wananchi wa Tunduru Mkoani Ruvuma ambavyo walisachiwa na hata kupigwa na kuondolewa ktk eneo la mkutano kisa kuwa na bango lenye ujumbe kwa Rais wao mpendwa.
Nikamkumbuka kilema mmoja aliepoteza mikono yake yote miwili ambae alisafiri kutoka mbali kijijini kwa matumaini ya kuja kumweleza Rais masaibu yake namna ambavyo aliburutwa kama jambazi na kutupwa nje ya eneo la mkutano.Najiuliza tutampata wapi Rais tumweleze kero zetu ikiwa ktk mikutano yake nguvu kubwa inatumika kuhakikisha wananchi hawafungui midomo yao?
Yule Mwananchi wa Makambako ujumbe wake pia ulifanana na hali halisi ya Tunduru maana ulihusu Idara ya maji.Kama kuna idara yenye watumishi wazembe,wasiowajibika wala kuwajibishwa na wanaoishi kwa mazoea miongoni mwa idara zote za serikali kwa hapa Tunduru namba moja ni idara ya Maji.
Hapa Tunduru siku tatu kabla ya ziara ya mheshimiwa Rais Tulipata maji mfululizo mchana na usiku.
Maji ambayo tulishasahau kama huwa yanapatikana na hata baada ya kuyaona wengine waliamua kuyaita maji ya magufuli kwa maana yamekuja kwa sababu ya ziara ya magufuli na ni kweli maana tayari yameshatoweka,kero ambao viongozi wote akiwemo mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wanaijua lakini hawaitatui au hawana maarifa ya kuitatua.
Iliwezekanaje maji yakapatikana wakati wa ziara ya mheshimiwa Rais tu na sio kabla ya hapo au baada ya hapo?Bila shaka jibu ni moja tu kwamba viongozi hawa wamejawa na unafiki na hawana nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi au uwezo wao ni Mdogo ktk kutekeleza majukumu Yao.
Barabara za mitaa ambazo zilishajifunga kwa kutopitika zilianza kuchongwa na baadhi ya Mitaro kujengwa,Mitaro na barabara ambazo tangu mwaka jana hazijaguswa.
Kumbe na wenzetu Makambako wana miezi sita hawajaona maji lakini ghafla wakayaona maji ya magufuli.
Mara nikamsikia mheshimiwa Rais anamsifia mkuu wa Wilaya Tunduru ndugu Juma Homera na akasema hata kama kuna mkoa unazubaa zubaa anafaa hata kupewa mkoa.
Baada ya kauli hiyo nikajiridhisha kwamba mheshimiwa Rais hapati taarifa sahihi juu ya watendaji wake na utendaji wao.
Katika tamthilia ya sultan,mambo mengi yanatendeka lakini sultan Suleiman hapati taarifa na akipata haambiwi ukweli bali anafichwa.
Mheshimiwa Rais wananchi wengi wanafurahishwa sana na hatua mbali mbali anazochukua juu ya masuala mbali mbali ya nchi ukiondoa dosari mbili kubwa
Za pesa kuwa ngumu na uminywaji wa demokrasia
Angekuwa hero kwa Taifa
Lakini watendaji wake wengi hasa ktk Wilaya na mikoa ni bure kabisa,
Wananchi wanaponyimwa fursa ya kueleza ukweli wa kero zao kwa Rais,basi ni nani atamwambia ukweli Rais?
Sent using Jamii Forums mobile app
kumekucha nenda shule Dogo watu wanaongea mambo ya msingi wewe unaleta blabla hapaSidhani kama ni sahihi mwanaume kuwa mfuatiliaji wa tamthilia zinazousisha uanamke zaidi.
Mfano nimkute mwanaume mkubwa kabisa na madevu yake amekaa na mke wake na familia kwa ujumla wanatazama tamthilia yenye maudhui ya kike naweza nikaruka majoka balaa.
Ni maoni yangu.
Sidhani kama ni sahihi mwanaume kuwa mfuatiliaji wa tamthilia zinazousisha uanamke zaidi.
Mfano nimkute mwanaume mkubwa kabisa na madevu yake amekaa na mke wake na familia kwa ujumla wanatazama tamthilia yenye maudhui ya kike naweza nikaruka majoka balaa.
Ni maoni yangu.