Kilichosemwa na Geldof kuhusu rushwa bandarini

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,011
2,181
Ni aibu na ni ajabu kwamba Kikwete alishaambiwa siku nyingi sana juu ya rushwa bandarini, lakini yaonekana hakuwa na niya ya kupambana na rushwa. Hata vyombo husika kama TAKUKURU ya Hosea, ilikuwa iko relaxed kwa miaka 10.

Angalia video kwenye attachment
 

Attachments

  • Bob geldof.mp4
    1.2 MB · Views: 82
Tunataka suala la Escrow lisihughulikiwe kwanza ndipo tuwe na imani na Rais wa awamu ya tano
 
Tunataka suala la Escrow lisihughulikiwe kwanza ndipo tuwe na imani na Rais wa awamu ya tano
Mkuu
Wao Wanasema Pccb,Tap Hayo Ya Escrow Ndiyo Yapo Sawa.Tunajua Vyombo Kama Pccb,Tiss,Tap Hawakuwa Na Namna Maana Rais Naye Ni Tatizo Kwa Wakati Huo
 
Duuuuh...Aliwahi kwenda kasulu miaka ile akasema "natambua hapa kasulu kuna mchwa hapo halmashauri" hakuna lililotendeka
 
Mzee wa Msoga Aligeuza Taifa letu GETHO la walanguzii..
Alaaniwe popote palee
 
Hehehe Mzungu anaongea kwa msisitizo utadhani Anaukoo Na Tanzania hahaha
 
Rais wa sasa aliyafahamu yote haya, alikuwa anasubiri akabidhiwe rungu aende akaue nyoka kwa kuponda kichwani sio miguuni. Aliyoyasema PK yanarudiwa tena na mwanamuziki Bob Geldof. Lakini Ngosha hana mchezo, heshima ya Tanzania itarudi kwa kasi kubwa.
 
Hehehe Mzungu anaongea kwa msisitizo utadhani Anaukoo Na Tanzania hahaha
Huyo ni mmoja wa wale waliotoa wazo la kutungwa kwa wimbo wa we are the world mwaka 1984 ukatungwa mwanzoni mwa 1985, pia alishiriki katika kuuandika wimbo wa do they know it's christmas ambao ulitungwa na kuimbwa mwaka 1984. Jamaa ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa miaka mingi sana.
 
Acha unafiki wewe huko ksl hujui yaliyomkuta mkurugenzi mtendaji wake wa kipindi hiko? acha kutukuza uzushi
 
Hata mgeni anamwambia rais wenu hivi........................aibu. Miye mpaka leo sijui JK alikuwa anataka kufanya nini hasa Tanzania? It does not make any sense uongozi wake ulivyokuwa.
 
Back
Top Bottom