vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,121
- 5,845
jamaa huwa wana deal za kupiga hela za usajili,manake wachezaji wakihongwa wakacheza chini ya kiwango wataonekana si wachezaji wazuri,wamehongwa na wapinzani hivyo wamefungwa,wachezaji watafukuzwa na tajiri atatoa tena pesa ya usajili na mzunguko huo utaendelea. Ie mohamed hussein,aishi manula,ngoma, mavambo nk
Ile ni ajira, ili ajira idumu lazima ufanye vizuri. Hakuna mchezaji mwenye akili timamu akakubali ahongwe ili acheze chini ya kiwango wakati unajua kabisa juhudi zako ndizo zitakazokupa soko. Mchezaji ni kama bidhaa inayotakiwa kupanda thamani, hao wakina Mavambo, Ngoma, Manula Mohamed Hussein hakuna yeyote aliyethibitisha kupokea rushwa zaidi ya kuishia kuwatuhumu tu. Na lingine Mavambo kauliwa kiwango na kocha wenu Fadlu.