Kilichonisibu kwa bwana yule

Ok.
 
Picha ya uvimbe iko wapi?Kwa nini uliangalia hapo kwenye flaiz?
 
Sikukataa, niliogopa kuwa naweza kushawishika kuwa "bodigadi mpendwa"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Nawe hutaki kupendwa
 
Asante kwa taarifa! Sasa na wewe ilikuwaje ukaenda kumuuzia mwanaume madera? Matatizo mengine mnajitafutiaga nyie wenyewe! Kwenye biashara unaambiwa, Know your customers!
Mkuu nilikuwa napita Yale maeneo ndo kukutana nae, hata kukaribishana ofisini
 
Nahitaji dera moja la 12000 nipo Kinondoni, njoo mapema sana kabla ya saa 2. Usije na rafiki yako, uje peke yako, nitanunua kwa bei yoyote.
 
Mimi pia hunitokea hali hii nikikutana na mzigo wa haja, "mgombea" lazima anisaidie kusimama na kuomba "kura"
 
Huyo bwana ni Mpare nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…