KEKO JUU
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 591
- 1,832
Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2025 kuna Mambo Mengi Sana Tumepitia Mwaka Huu,Kwa upande wangu kilichonifurahisha sana 2025 ni kuona jinsi uelewa wa Watanzania ulivyoongezeka, watu wanazidi kufunguka katika kudai haki zao na kuelewa kwa kina yanayojiri nchini.
Kilichonihuzunisha sana 2025, kuna viwili, Namba Moja, Mauaji ya tarehe 29 Oktoba,na uchafuzi uliofanyika kwa ujumla katika kipindi hicho.
Namba mbili,Niliibiwa vifaa vyangu vingi vya electronics, PC yangu, Subwoofer Nk.
Hebu tushirikishe pia wewe,Nini kilichokufurahisha sana na kuhuzunisha sana 2025.