Kilichomponza Trump hiki hapa

Kilichomponza Trump hiki hapa

Upande wa tabia zake i agree.,
And Joe is the opposite of that
Joe hatodumu zaidi ya muhula mmoja.

Na kama nilivyosema awali, watu hawakumpigia kura Joe.

Walipiga kura dhidi ya Trump.

Trump ni mtu wa ajabu sana.

Wakati mwingine huwa nadhani ana hitilafu ya kiakili.

Nikupe mfano mmoja tu, ingawa iko mingi sana.

Mapema mwaka huu ali-retweet tweet mmoja iliyomwonyesha mshabiki wake akisema “white power”.

Ni mtu gani mwenye akili timamu, achilia mbali nafasi aliyonayo kama Rais, anaweza ku retweet kauli ya kibaguzi namna hiyo?

Rais aliyepo madarakani na ambaye anagombea tena muhula wa pili, anafanya mambo kama hayo!

Alikuwa anategemea nini?

Joe wala hakuwa mgombea bora.

Na kawekwa tu hapo kama Rais wa mpito.

Lakini licha ya mapungufu yake yote, sidhani kabisa Joe anaweza kufanya mambo kama Trump afanyavyo.

Ofcourse kwa factor ya umri..he will be too old next time,.He js wanted to fulfill his long time dream

nadhani suala la kutokulia kwenye 'system' ya siasa nayo ni issue.,he came in as an outcast..so he tends to be loose canon kwa vitu ambavyo u dont expect from the president,.tena wa US,..i feel like kuna muda yani huwa ni anajisahau yeye ni nani sijui
Mfano mwingine his twitter behaviour..unbelievable

and even more crazy now that he wont concede.,ila atatia akili tu siku si nyingi
I think the US really needed mtu mwenye character ya Biden for now
 
Waswahili huchagua kwa mkumbo yaani makundi makubwa na kwa imani kuliko makundi mengine ya weupe, walatino na makundi ya wachache wamarekani (middle east, indian sub continent, japanese chinese ancestry )
.
Key demographics updated 4 Nov

Key demographics updated 4 Nov

The exit polls are carried out across US Election 2020: Results and exit poll in maps and charts

Race and ethnicity

Nonwhites make up four-in-ten Democratic voters but fewer than a fifth of Republican voters

Source : What the 2020 electorate looks like by party, race and ethnicity, age, education and religion
 
Ofcourse kwa factor ya umri..he will be too old next time,.He js wanted to fulfill his long time dream

nadhani suala la kutokulia kwenye 'system' ya siasa nayo ni issue.,he came in as an outcast..so he tends to be loose canon kwa vitu ambavyo u dont expect from the president,.tena wa US,..i feel like kuna muda yani huwa ni anajisahau yeye ni nani sijui
Mfano mwingine his twitter behaviour..unbelievable

and even more crazy now that he wont concede.,ila atatia akili tu siku si nyingi
I think the US really needed mtu mwenye character ya Biden for now
Suala la kutokua kwenye system....come on.

Hivi kujua right and wrong ni mpaka uwe ulishakuwa kwenye system?

It’s just common decency. And common sense.

Mbona mbeba maboksi najua kuwa kauli kama hizo za white power au hata black power ni za kibaguzi.

Even my daughters know that’s wrong.

Mfano, wewe huoni kwamba hiyo kauli ya white power si nzuri?

Ni character flaw tu ya Trump ndo ilikuwa inasababisha yote hayo.

Sidhani kabisa kama it has anything to do with having been in the system in order to know its inappropriateness.
 
Joe hatodumu zaidi ya muhula mmoja.

Na kama nilivyosema awali, watu hawakumpigia kura Joe.

Walipiga kura dhidi ya Trump.

Trump ni mtu wa ajabu sana.

Wakati mwingine huwa nadhani ana hitilafu ya kiakili.

Nikupe mfano mmoja tu, ingawa iko mingi sana.

Mapema mwaka huu ali-retweet tweet mmoja iliyomwonyesha mshabiki wake akisema “white power”.

Ni mtu gani mwenye akili timamu, achilia mbali nafasi aliyonayo kama Rais, anaweza ku retweet kauli ya kibaguzi namna hiyo?

Rais aliyepo madarakani na ambaye anagombea tena muhula wa pili, anafanya mambo kama hayo!

Alikuwa anategemea nini?

Joe wala hakuwa mgombea bora.

Na kawekwa tu hapo kama Rais wa mpito.

Lakini licha ya mapungufu yake yote, sidhani kabisa Joe anaweza kufanya mambo kama Trump afanyavyo.

Ngabu!! Wewe muhula wa kwanza wa Trump ulikuwa unashambulia kila anayemkosoa Trump.Ni ajabu nawe umemgeuka.Nani alikwambua Tabia mbaya ya Mtu mzima hubadurika?
Joe Biden Ni kiongozi Bora angalia history yake nyuma
 
Wewe ni muongo.

1.Kutoa madai bila ushahidi ni uzushi.Weka ushahidi wako hapa.

2. Ni mwezi wa 6 na mwezi wa 9 mwaka huu ambapo mimi mwenyewe nimemkosoa Trump humu. Unabisha?

3. Kwa hiyo, hayo madai yako ya mimi kuwashambulia wote waliokuwa wanamkosoa Trump, ni uzushi wako tu. La, kwa kufuata mantiki yako, basi hata mimi mwenyewe nilijishambulia mwenyewe, siyo? Maana mimi huyu huyu nimetoka kumkosoa Trump miezi michache tu iliyopita.

4. We dada, ukitaka kunijia mimi basi jitayarishe. Siyo kuropoka uzushi usio na kichwa wala miguu. Mimi nitawashambuliaje wote wanaomkosoa Trump wakati mimi mwenyewe namkosoa?

5. Jipange vizuri kama unataka kujadiliana nami kwa akili, mantiki, ushahidi, na rejea. Hapa siyo MMU wala Chit-Chat.

Haya bisha kwamba sijawahi kumkosoa Trump humu.....bisha!!!

Bisha....I dare, double dare, and triple dare you.

Bisha tuone....
 
Back
Top Bottom