Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,197
- 19,465
Bwana Trump na timu yake ya kampeni wamekosea mahesabu na inaenda kuwagharimu vibaya sana. Matumaini ya kushinda ni chini ya 20%.
Kwenye siasa propaganda na figisu huwa hazikosekani. Kama ambavyo Dem walilalamika mwaka 2016 kufanyiwa figisu na bwana Trump, safari hii kibao kimegeuka na mtetezi wa kiti cha urais ndio analalamika kufanyiwa figisu.
Kutokana na COVID19 safari hii kulikuwa na njia 2 za kupiga kura, ya kwanza ni moja kwa moja kwenye vituo vya kupigia kura na ya pili ni kwa njia ya posta.
Trump akawaambia wafuasi wake wakapigie kura moja kwa moja kwenye vituo vya kupigia kura, waachane na posta. Huku nyuma ya pazia akajaribu kuingilia na kuzuia utendaji wa mifumo ya posta ili kura za Biden zisiweze kufika kwa wakati kwenye vituo vya majumuisho. Pia alidhani ataweza kusitisha uhesabuji wa kura za posta baada ya kura za vituoni kuhesabiwa na ndio maaana anashout muda wote STOP THE COUNT.
Hii ndio ilifanya ajitangaze mshindi mapema kwa sababu kura za mwanzo kabisa zilizopigwa kwenye vituo zilionesha anaongoza. Lakini akasahau kwamba Biden yeye aliwahamasisha wafuasi wake watumie njia ya posta ili kujikinga na corona. Hapo ndio meza ilipompindukia Trump.
Pia alidhani ataweza kusitisha uhesabuji wa kura za posta baada ya kura za vituoni kuhesabiwa na ndio maaana anashout muda wote STOP THE COUNT. Amejaribu kila njia mpaka kufile lawsuit kuzuia uhesabuji wa kura za posta usitishwe lakini wapi. Wananchi nao wamekomaa EVERY VOTE MUST BE COUNTED.
Kwa mtu mwenye busara alitakiwa awe ameshadeclare kushindwa na aangalie mambo mengine sababu hakuna namna ataweza kushinda electoral votes za states zote zilizobakia ambazo ili afikishe kura 270 inabidi ashinde zote. There is no way.
Nadhani by January tutakuwa tumeshamsahau bwana Trump.