Kilichomponza Rais Kikwete Dodoma

Kilichomponza Rais Kikwete Dodoma

bupepe

Senior Member
Joined
Jun 22, 2015
Posts
114
Reaction score
71
Wana jamvi leo nawaletea kwenu uchambuzi wangu juu ya maamuzi ya jk na kamati katika uteuzi wa wagombe urais Dodoma.

Kilichofanyika pale ni kuwa kikwete kushindwa kusoma alama za nyakati.kwa kuangalia watu wanaomzunguka walikuwa wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni chui.

Wote tujiulizee
Ni kikwete na watu wake waliosababisha mzee MALECELA kuenguliwa kwenye uraisi mpaka kumnyima nafasi ya ubunge.

Ni kikwete na team yake walioneza propaganda zilizopelekea Dk SALIM AHMED SALIM kukosa urais 2005.

Ni kikwete na watu wake walioopelekea MH MKAPA akose sauti kwa kumshinikiza ampe uraisi kikwete zikaendezwa propaganda mpaka akahamua kufikia uhamuzi.

Ni kikwete na watu wake waliosababisha bwana MANGULA aludi kulima nyanya kijijini ni kikwete na team yake waliosababisha MSekwa kukosa uspika kwa kumuweka sitta

Ni kikwete na serikali yake waliosababisha Mtoto wa msuya akose uwaziri kwa kukuundia zengwe.

Ni kikwete na team yake waliomuadaaha KARUME kwa kumuaidi kumpa umakamu wa rais na asigombee urais Bara

Kwa hali ilivyo list ya watu hao hapo juu hata siku moja wasingeweza kumshauli lolote jema la kumfanya kikwete aonekane shujaa na ndio maana Walipokuwa Dodoma walikuwa wanakubali kila anachosema na ndio kilichomponzaa

Mpaka.sasa mambo yameharibika kwa kifupii wamemuachia afe na CCM yake

Ni vema kusoma alama za nyakati nawasilisha
 
Kwa ufupi jamaa huwa wanamchekea akiwa mbele yao, akiwapa kisogo wanatamani November ifike kesho apishe wengine, inaonekana mheshimiwa kajeruhi wengi sana.
 
Tushukuru mungu ametupa fungu tumewafungia ccm gerezani hawachomoki maana vikao vinakuwa vigum maana hawaaminiani tena !!
 
Back
Top Bottom