Kilichompeleka JK USA hiki hapa

Nadhani issue ya kujadili hapa ni namna gani Tanznaia kama nchi na wananchi watafaidika na huo mkutano wa sullivan. We going to get/learn anything ? Yes, they will come and go, what next after that ?
 
iyo mzee inakuwa ngumu kuhakikishiwa ila mbona kama hayo yamejiri haina kweree, mi nafagilia JK alivyo mjanja!! au we mwenzangu unamdindia
 
Nadhani issue ya kujadili hapa ni namna gani Tanznaia kama nchi na wananchi watafaidika na huo mkutano wa sullivan. We going to get/learn anything ? Yes, they will come and go, what next after that ?

wewe umechelewa wapi?

overall consensus humu ndani ya JF ishakubali kuwa huo mkutano wa sullivan utawaleta wanyamwezi kuja kutazama wanyama, ku enjoy short break na wachache watatake a piss like they always do with Muungwana

JF watu walishamka zamani mkuu
 
Mimi sijui tatizo la wale wanaomsakama Jk linatokana na nini?Rais huyu ni social na anapenda watu wa aina zote.Ni mpenzi wa michezo na muziki na hafichi.Kama kupiga picha na Boyz 11 men kunawatia wivu na hivyo kuanza chuki zenu ...shauri yenu maana hamna ajenda ya maana.Anajitahidi kutafuta wawekezaji na anlifanyia kazi taifa hili kwa juhudi kubwa.Watanzania ni maneno maneno tu...na kejeli zisizokuwa na maana.Uswahili...tu hamna lolote.
 

This Kikwete is a Big Joker Ass hole
 
<br />
<br />
 
Jamani nyie simnamjua rice wetu? mnashangaa nini sasa? na inawezekana alienda kama akina sisi hata hakumpa hi Obama
 
lakini wenyewe simnjua jk anavopeda usharobaro na kuuza sura?
 


Tukisema rais wetu ana matatizo tutaonekana tunamtusi....angalia haya sasa,hata Obama hajawai kukutana na hawa jamaa na kukaa nao,maana ni upuuzi..sasa kama tukisema raisi anaenda kutalii tutakataa? Yaani president mzima unakaa unapiga picha kama muhuni fulani? Jamani watanzania tutadharaulika milele...maana huku kaongwa suti,huku kapiga picha na wanamuziki lol!!
 
Acheni wivu wa kike!!!

Mkuu umenipandisha hasira sana...maana umenikumbusha kauli nyingi ngumu zilizowai kutolewa na viongozi wetu....

  1. Acheni wivu wa kike--by Ben Mkapa
  2. Bora watanzania wale nyasi,ndege ya raisi inunuliwe--by Mramba
  3. Sijui kwanini watanzania ni maskini--by Kikwete Jakaya
Hizi ni baadhi,tutapata nyingi zaidi muda ukiendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…