Kilichojiri kesi ya David Kafulila

Wana jukwaa nimesikia hukumu ya matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na David kafulila ni Leo je kuna ukweli hapo wadau na maaamuzi yametolewa au bado
Nememmiss sana David kafulila bungeni
 
Kafulila namkubali. Mungu amsimamie
 
Mkuu zisije pelekwa zile bilioni mahakamani kwa hakimu Ohoo!
 
Tutashinda ni kipindi kinachoendeshwa na mch.Lusekelo,Chanel Ten-kilichoboooora kabisa.

Kafulila kipindi hiki kinakuhusu.
 
Ruttashoborwa una ushahidi na uhakika na hiyo kauli yako.Tulia wenye fani zao wafanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…