Kilichojiri kesi ya David Kafulila

Bado tu hujapigwa ban?
 
Id zote na hata zile ambazo hujafungua, au ni hii ya KIBOLO tu?
 
Na lowassa mlitoa miahadi ambayo hamjaitekeleza.
P.s: Namkubali Kafulila anastahili kurudi bungeni.
 
Mkuu...Unawajua CCM au unawasikia

CCM wanaweza kufanya kisichowezekana kikawezekana
 

Kibo 10; tutapotea pamoja maana mimi nitajipiga ban ya maisha na kujiondoa kabisa JF.
 
Kibo 10; tutapotea pamoja maana mimi nitajipiga ban ya maisha na kujiondoa kabisa JF.
Hiki tunakula kinaitwa kiapo cha uaminifu.Tuamini tutashinda mkuu
 
Mkuu...Unawajua CCM au unawasikia

CCM wanaweza kufanya kisichowezekana kikawezekana
Mkuu same times mungu uwapiga upofu hawa jamaa,Na kwa hili watapofuka tu.Haki itapatikana.
 
Tusubiri tu! Mahakama zetu wanajitambua.
 
huyu Husna akiwa mkuu wa wilaya ya Tandahimba alizuia mgombea wa cuf kutangazwa mshindi akatumia mbinu hiyohiyo kwa kafulila sasa kibao kimegeuka

Ni mtovu wa maadili kwani aliwahi pia kutimuliwa UWT!
 
MWENYE Haki Yake Ambayo Imedhurumiwa Kwa Kupewa Mtu Ambaye Siye Mwenye Haki Hiyo!! MUNGU Azidi KUWAONYESHA Haki Na Waitende Pia!!!!
 
Karibu mjengoni, Shemeji alishaanza kuwachachafya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…