Funga milango na madirisha yoteeeee.... JAJI ataamua bila kujali mlango au dirisha gani umefunga au umeacha waziNa Leo nafunga
Sijui mnakipendeaa nini jama...Funga milango na madirisha yoteeeee.... JAJI ataamua bila kujali mlango au dirisha gani umefunga au umeacha wazi
Ukijumlisha matokeo yaliyo kwenye fomu namba 21 Kafulila kashindwa! Kafulila kapoteza muda wa bure....
Umetumia kigezo gani? au ndio mafundisho ya Mirembe? kwa taarifa yako JF hawajawahi andaa mashindano ya pesa na/au elimuNaamini hauna unachonizidi si ki pesa,,Kielimu n.k....Tatizo La watu mlokuwa katika maisha Magumu,huwa wavivu sana Wa kufikiri
At least now with kind of comment it shows that slowly you are coming back to your sensesHivi umekunywa hata chai kweli??,maana naona kama unanjaa hivi....
Hapana, ukujuklisha za kwenye masanduku zilizochakachuliwa Kafulila kashindwa. Lakini ukijumlisha za kwenye fomu 21 ambayo ndiyo matokeo halisi vituoni, Kafulila kashinda. Hakuna namna, apewe ubunge wake kama walivyoamua wapigakura.Ukijumlisha matokeo yaliyo kwenye fomu namba 21 Kafulila kashindwa! Kafulila kapoteza muda wa bure....
Subiri muone....Kafulila amesha shindwa.Ushahidi mkuu?
BACK TANGANYIKA
NGOJA TUONE.....Hapana, ukujuklisha za kwenye masanduku zilizochakachuliwa Kafulila kashindwa. Lakini ukijumlisha za kwenye fomu 21 ambayo ndiyo matokeo halisi vituoni, Kafulila kashinda. Hakuna namna, apewe ubunge wake kama walivyoamua wapigakura.
Shule za kata aiseee.....At least now with kind of comment it shows that slowly you coming back to your senses
Subiri muone....Kafulila amesha shindwa.
ngozi nyeusi cc iko shida#kujigamba kote ya nn!!!kwani ww unamjua huyu bwana...Naamini hauna unachonizidi si ki pesa,,Kielimu n.k....Tatizo La watu mlokuwa katika maisha Magumu,huwa wavivu sana Wa kufikiri
katika ubora wakoMungu mbariki kafulila .
Msome hapa alafu mpuuzie... Aliishia form four akaajiriwa kama Karani au Dereva kwenye ofisi ya serikaliAt least now with kind of comment it shows that slowly you coming back to your senses
huyu Husna akiwa mkuu wa wilaya ya Tandahimba alizuia mgombea wa cuf kutangazwa mshindi akatumia mbinu hiyohiyo kwa kafulila sasa kibao kimegeuka