Kilichojiri kesi ya David Kafulila

Hii kesi imekua ikitazamwa na wengi sana hii inaonesha kafulila alivo kua ana wafuasi wengi,kuna kesi nyngi za uchaguzi zmefunguliwa lakini hii Interesting zaidi

Mungu aongoze vyema
 
Duh kafulila akiingia mjengoni sipati picha lile sakata LA Escrow litaongezeka kg
 
huyu Husna akiwa mkuu wa wilaya ya Tandahimba alizuia mgombea wa cuf kutangazwa mshindi akatumia mbinu hiyohiyo kwa kafulila sasa kibao kimegeuka
 
Unaweza nielekeza ilipo hospitali ya Mirembe?
Naamini hauna unachonizidi si ki pesa,,Kielimu n.k....Tatizo La watu mlokuwa katika maisha Magumu,huwa wavivu sana Wa kufikiri
 
Mungu endelea kumpigania Kamanda wetu
 
Namuombea sana HASNA ashinde hiii kesi nitajipongeza kwa kujizawadia Hummer..... Simpendi hyo jamaa..


hasna juu juu zaidiiii
Yaani nisivyompenda David naomba asishinde hii kesi. Ashindwe na kulegea
 
Ukijumlisha matokeo yaliyo kwenye fomu namba 21 Kafulila kashindwa! Kafulila kapoteza muda wa bure....
 
Yaani nisivyompenda David naomba asishinde hii kesi. Ashindwe na kulegea
Mkuu,

Mkuu mbona unadhihirisha CHUKI binafsi kwa kijana mwenzio...!?

Hebu tumuombee ashinde ili atufungue yale ambayo wachumia tumbo wanayapigia KELELE na wakifika mjengoni wanafunga midomo yao!
 
men i tell you folks don't know the half, i would give all up just for him to win this case
 
Nadhani kunaasilimia 80 za ushindi hapa,

Ngoja tuendelee kupiga dua. Nibora mara mia kukosa wabunge Mia wa ccm kuliko Kafulila mmoja ndani ya Bunge..!!

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…