View attachment 394015imagine ufundi na gharama iliyotumika kuihifadhi hii maiti ili isioze
ha hahaha huyu dereva simtaki tena aiseeeBodaboda [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na huo ndo ushahidi tosha kwamba binadamu hatupendani kabisa! Mtu akiwa mzima hakuna wa kumletea mayai / juice ili aendelee kuwa mzima. Ikitokea akaugua na kulazwa hospital,, ndo watu wanaandamana na vyakula vya kila aina huku wakijua kuwa hawezi kula hivyo vyakula .. akifariki tu, hapo ndo balaa, ufahari wa kila mtu utaonekana hapo siku ya msiba!Akiwa mgonjwa hata wakumpa dawa hakuna aikfa tu ndugu watatokea na wengine utakuta walikwepo ulaya huko jmn ebu tubadilike duuh