Kilichofichwa na polisi arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichofichwa na polisi arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MCHARA, Jan 19, 2011.

 1. M

  MCHARA Senior Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Polis walichakachua mkanda wa mauaji na kuficha ukweli wa kilichotokea Arusha kwani ukiangalia picha ktk gazeti la Mwanahalisi ya leo Jtano haf ulinganishe na mkanda waliotoa polis,ka kweli ni mtz halisi anayeipenda nchi hii na watu wake lazima utokwe na machozi kwani walichofanya polis ni zaidi ya unyama! WanaJF lazima ifike wakati tuseme ukweli bila kuweka ushabiki wa kccm kwani sidhani kama walichofanyiwa wanaarusha ni sahihi! Nampongeza Bwana Kubenea kwa ujasiri wake ktk kuanika maovu yaliyofanywa na polis bila kuficha! Tukipata wanahabari wengi wa aina ya Kubenea nchi hii inaweza kubadilika. Namwomba ZOMBA ambaye amekuwa akishabikia mauaji ya arushe asome mwanahalis haf atafakari kisha atoe hoja zake! Namalizia kwa kusema,"DAMU ILIYOMWAGIKA ARUSHA KAMWE HAITAPOTE BURE!"
   
 2. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Zomba yuko likizo ya lazima kwa kipindi cha miezi sita.
  Hebu tukazione basi hizo picha zenyewe basi.
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Naikia nao CDM wanaandaa documentary yao itayoanzia tokea vurugu za uchaguzi wa meya hadi maandamano! Sijui itakuwaje maana nadhani mwitikio wa watu bado siyo mzuri licha ya ile ripoti maalumu kutolewa.
   
 4. s

  shemu Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Yani kama kuna watu waliziamini zile picha za polisi ambazo zimelipiwa hadi vipindi basi hawakuwa wafatiliaji wazuri wa matukio ya Arusha. Nasema hivyo kwasababu siku hiyo chanel Ten na ITV alionyesha tukio lile japo ilikuwa ni summary lakini kuna kitu mtu unapata. Kabla ya kuchakachua polisi ingelibidi warudie kuangalia Taarifa za habari za sikuile then waanze uchakachuaji. Nashukuru Mtu mzima kubenea ametukumbusha tena kwa uzuri sana leo. Jamani hivi kweli jinsi polisi walivyo wafanyia watu wa Arusha bado wanasubutu kujikosha kiasi hicho? Jamani polisi Muogopeni Mungu acheni kuuendelea kuwajaza watu jaziba na hasira yasije tokea ya Tunisia maana mnavyo endelea namna hii kunamtu atajichoma moto halafu Mtaona kitakachotokea!!!!!!!!!!! Kwa ujumla ile hovyo hovyo mliyo ifanya kwa maamuzi ya hovyovyohovyo kwa amri ya hovyohovyo mlioyo pewa na viongozi wa hovyohovyo siyo nzuri. Nimeangalia kwenye Taarifa ya habari ya Chanel Ten wa zee wa mdebwedo wametumia busara zao leo mambo yamekuwa powa japo kuna Askari mmoja amejeruhiwa kidogo.
   
Loading...